Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.
Yani mmwagiane TINDIKALI wenyewe halafu mtuingize VITANI. Nyinyi teteeni tu hii kauli ya UCHOCHEZI ya Mh. RAIS, halafu atakaposimamishwa the HAGUE tuone kama mtaenda kumtetea.

huyo kijana atakuwa amevalishwa nguo za CCM na huyu mzee, kwani bado anazo nyingi tu alizokuwa akizitumia akiwa CCM.

slaa2.jpg
 
Last edited by a moderator:
Dr.Slaa yaani nyie mnawapiga mapanga raia na kuwamwagia tindikali muachwe tu.
Je, JK angewashauri nini Wakristo ambao makanisa yao yamechomwa moto lakini wametulia. Mapadri wao wameuwawa lakini wametulia! Wengine wamemwagiwa tindikali lakini wamevumilia. Wamepigwa mabomu wakiwa katika ibada lakini bado wamevumilia! Je angeweza kuwaambia kuwa sasa uvumuliuvu basi kwa kuwa una kikomo? Angewaambia waache unyonge?
 
Ukipanda mahindi , usitegemee kuvuna mihogo. CHADEMA kuweni wavumiivu tu kwa kuwa wakati mnayafanya haya mliona kama CCM wamelala.
Propaganda zenu ma ccm inaelekea kuzuri..hatuna cha kupoteza..NTAANZA NA WEWE.
 
Wewe unaushahidi kuwa mimi nahusika kwenye mauaji ya wananchi kwenye CHAGUZI? Hao wauwaji mbona wanaachiwa na POLISI tena MAHAKAMANI? Unamkumbuka Marehemu Msafiri Mbwambo aliyekuwa Mwenyekiti wa CDM wa kata ya USA-River huku ARUSHA? Kesi ya watesi na wauwaji wake imeishia wapi pamoja na wahusika kukamatwa na kutoa vidhibitisho vya SILAHA walizotumia? Nyie watu mmepandikiziwa chuki dhidi yetu, na mnachukulia kishabiki kutuonea ndani ya nchi yetu. Usiwe mshabiki wa kitoto.....

View attachment 139694 View attachment 139695

Ndiyo ujiulize kwa nini wanaachwa MAHAKAMANI wakati POLISI ndiyo wanaofanya upelelezi. MAHAKAMA nazo zimegundulika zimejaa mahakmu wachagga. Haiwezekani LEMA anafanya uhaini tena wenye ushahidi wa maandishi , mahakama zinamuachia.
 
Acha kumtia maneno Jk wewe. Kakutuma? Hakusema ulivyosema wewe punda. Kasema wazi ccm wajibu mapigo. Kwa sababu wapinzani wao wanavurugu. Katoa mfano wa tindikali na bisibisi. Hizo ni hoja za sera au ni vurugu ? Wewe mburula?
kama unakili amri jeshi mkuu kasema hivyo tunakuuliza mbona hakuwaambia wanachadema wasiwe wanyonge makada wao walipouliwa igunga mbona hakuwaambia chadema kada wao alivyochinjwa shingo kwa msumeno na wana ccm mbona hakuwaambia wanachadema walivyorushiwa bomu soweto na wananchi kufa ndani ya kanisa la olasiti kikwete kama hataomba radhi wananchi kwa kauli yaje atawajibika kwa kauli hiyo
 
Dr.W.Slaa nasikia ndio mchaguliwa halisi wa kuwakilisha chama katika uchaguzi ujao ngazi ya Urais, if it so then taifa kiukweli limeishiwa na watu wa kuongeza. Sijawahi soma mchango wowote wa ujenzi unaotamkwa na huyu mzee zaidi ya chuki na visasi. Ni kwanini huyu mzee nafsi yake imejaa roho mbaya kiasi hiki? Oh! May be the way Jk alivyomdharau kwa kutojibu vioja vyake ndio hasira zake zinazidi. Ila muovu siku zote huishia aibu na huyu sijui mwisho wake utakuwa wa aibu kiasi gani.

ImageUploadedByJamiiForums1392620533.353530.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1392620601.636664.jpg
Hawa ndio wanaweza kukaa na kumwelewa Dr Slaa anazungumza nini sio wewe ambaye hata kuandika hiyo mistari yako kadhaa huelewi umekusudia nini. Sio kila hoja humu uijibu, waweza kuzisoma tuu kwa ajili ya kujielimisha kisha baada ya miaka kama mitano hivi ukafikia kiwango cha Division 5 ukaanza kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaushahidi kuwa mimi nahusika kwenye mauaji ya wananchi kwenye CHAGUZI? Hao wauwaji mbona wanaachiwa na POLISI tena MAHAKAMANI? Unamkumbuka Marehemu Msafiri Mbwambo aliyekuwa Mwenyekiti wa CDM wa kata ya USA-River huku ARUSHA? Kesi ya watesi na wauwaji wake imeishia wapi pamoja na wahusika kukamatwa na kutoa vidhibitisho vya SILAHA walizotumia? Nyie watu mmepandikiziwa chuki dhidi yetu, na mnachukulia kishabiki kutuonea ndani ya nchi yetu. Usiwe mshabiki wa kitoto.....

View attachment 139694 View attachment 139695

Kinachowauma sana CHADEMA ni hiki hapa, na bado 2015 mtakoma na kwa sababu JK ameshaonya lazima mtkaliwa kooni mpaka kieleweke

View attachment 139700
 
Dr.Slaa yaani nyie mnawapiga mapanga raia na kuwamwagia tindikali muachwe tu.
Lets be reasonable, wanaotakiwa kushughulikia na kuzuia hayo ni wanaCCM?

Ni kama vile Rais Kikwete hajui mamlaka aliyonayo, hivi hajui kuwa anachokitamka yeye ni DECREE, yaani kinakuwa ni sheria?
Kwa hiyo amehalalisha kuwa mwanaCCM akipigwa mapanga na yeye akachukue mapanga awapige waliompiga?, akimwagiwa tindikali na yeye akatafute tindikali akawamwagie, Polisi na mahakama kazi yao itakuwa ni kufanyaje?, kukaa na kuangalia kwamba CCM nao sasa wameamua kutokuwa wanyonge na wameamua kujibu mapigo?

Tuombe yasitokee, lakini yakitokea mauaji jamii itajua ni kwa amri ya JK na sidhani kama hiki ni kitu cha kushabikia kwa mwenye akili timamu.
 
View attachment 139697
View attachment 139699
Hawa ndio wanaweza kukaa na kumwelewa Dr Slaa anazungumza nini sio wewe ambaye hata kuandika hiyo mistari yako kadhaa huelewi umekusudia nini. Sio kila hoja humu uijibu, waweza kuzisoma tuu kwa ajili ya kujielimisha kisha baada ya miaka kama mitano hivi ukafikia kiwango cha Division 5 ukaanza kuchangia.

Hawa ndiyo wanaoigharimu Damu ya Watanzania kwa kuufadhili uhaini unaoongozwa na LEMA akiongoza REDBRIGADE. ni hatari sana.
 
Hapa rais kapotoka...hiyo kauli ilikuwa itolewe na akina Nape na aina zao siyo rais
 
Ndiyo ujiulize kwa nini wanaachwa MAHAKAMANI wakati POLISI ndiyo wanaofanya upelelezi. MAHAKAMA nazo zimegundulika zimejaa mahakmu wachagga. Haiwezekani LEMA anafanya uhaini tena wenye ushahidi wa maandishi , mahakama zinamuachia.
udhaifu wa kikwete ndio umebariki mauaji asijisahau madikteta kama yeye waliishia pabaya pamoja na vizazi vyao yeye kikwete anaona sifa kuacha legacy ya nauaji ya kimbali nchini hawezi kubagua wananchi yeye ni kiongozi wa wote kila baya lazima akemee lakini sio kujivika uccm akiwa kiongozi wa nchi
 
View attachment 139697
View attachment 139699
Hawa ndio wanaweza kukaa na kumwelewa Dr Slaa anazungumza nini sio wewe ambaye hata kuandika hiyo mistari yako kadhaa huelewi umekusudia nini. Sio kila hoja humu uijibu, waweza kuzisoma tuu kwa ajili ya kujielimisha kisha baada ya miaka kama mitano hivi ukafikia kiwango cha Division 5 ukaanza kuchangia.

Bendera ya CHADEMA iko wapi hapo?
 
1. itaichukua Tanzania siku 100 kupata katiba mpya
2. Tanzania itageuka kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja
3. CHADEMA ikiingia ikulu mfuko wa saruji th. 5000
4. mabomba ya gezi yanajengwa kutoka mtwara kwenda Ulaya
5. nchi haitatawalika
Unaweza kuongezea upu.pu wa huyu Askofu.

View attachment 139689

Kweli ni PUMBA! LAKINI UNAPOMUITA MZINZI ASKOFU NDIPO NA WEWE UNAPOJIKANYAGA! MAASKOFU WAKINA PENGO BWANA! KWA USAFI WAO, HATA WAKIKOHOA TU WAOVU WANATETEMEKA!
 
Hakuna kizee kiongo duniani kama Slaa. Kizee cha siasa za matukio,haya sasa kimepata mtaji kwa kupindisha kauli ya Mhe JK! Haya kazi kwenu bavicha, chagueni mfuate maneno ya Lema or ya Kibabu Slaa.
 
Siungi mkono alichosema
Kikwete,ninalaani!ila nawaomba vyama upinzani waache vurugu tuone hao
CCM,watamchokonoa nani
Genious. Hebu mpe Babu Slaa haya maneno yako yenye Busara.
 
Hawa ndiyo wanaoigharimu Damu ya Watanzania kwa kuufadhili uhaini unaoongozwa na LEMA akiongoza REDBRIGADE. ni hatari sana.
umechanganyikuwa green guard kwa ufadhili wa wachina wanaendesha mauaji nhhini nzima na mwenyekiyi anawapa vyeo mwigulu kamuhanda ahmad nsangi gai ni baadhi ya waliopandishwa vyeo baada ya kuhusishwa ba utekaji utesaji na mauaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom