MEA-MTWARO
Senior Member
- May 15, 2013
- 128
- 40
Kama umemaliza tuma salamu.tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu .nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?" .
Kama umemaliza tuma salamu.
Kama amesema kuwa kinana si size yake, mbona walipotakiwa kuwa na mdahalo pale ITV alipotokea Nape alimkataa kwa madai kuwa mtu wa zaizi yake, kinana ndo anamtaka? Yaani jambo lililotokea juzi tu amesahau je akikabidhiwa nchi hali itakuwajeanafikiri kinana ni josephine huyo, kinana ni namba ingine kabisa, akae mbali ataloa
salam zangu za kwanza zimfikie mke wangu wa kupora, mtoto wetu wa zinaa na mwisho kabisa walisha zumu wote popote pale walipo..
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu
.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"
Pia salamu ziwafikie wale wote wanaochangia chadema saccos hali inayotusaidia mimi na hawara wangu kutembelea nchi mbalimbali ikiwemo israel, zambia na uingereza huku tukifanikisha ujenzi wa nyumba yetu ya kifahari.salam zangu za kwanza zimfikie mke wangu wa kupora, mtoto wetu wa zinaa na mwisho kabisa walisha zumu wote popote pale walipo..
Dr. Anawanyima sana usingizi!Join Date : 16th May 2013
Mkuu, kinana hawezi kujadili jambo na mzinifu, mpora wake za watu na mzaa nje ya ndoa. Atakasike kwanza ndipo aanze kujilinganisha yeye na kinanaHivi ule mdahalo wa Makatibu wakuu wa CDM na CCM ITV umefikia wapi?
Au bado katibu mkuu wa CCM ana udhuru?! Huo mdahalo ndiyo ungemaliza huu UBISHI wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Kinana.
Ambacho hukuelewa nini? au je UONGO huko wapi?tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu
.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"
.
Hivi ule mdahalo wa Makatibu wakuu wa CDM na CCM ITV umefikia wapi?
Au bado katibu mkuu wa CCM ana udhuru?! Huo mdahalo ndiyo ungemaliza huu UBISHI wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Kinana.