Mongoiwe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 524
- 263
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimemtunukia aliyekuwa mgombea Urais na Katibu mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Peter Silaa tuzo ya Majimaji kutokana na mchango wake katika Bunge lililopita wakati alipokuwa mbunge wa Karatu.
Tuzo hiyo amekabidhiwa leo usiku katika sherehe zilizofanyika huko jijini Dar eneo la Kijitonyama.
Mpaka sasa Dk. Slaa anakuwa mtu wa pili kutuzwa tuzo hii ambayo hutolewa mara moja kila baada ya miaka mitano huku wa kwanza akiwa ni Jaji Mwalusanya aliyeipokea Mwaka 2005.