Dk. Slaa atuzwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Maji Maji kwa mchango wake Bungeni!

Status
Not open for further replies.
I told you dr slaa is tanzanians hero, huyu mkuu ana busara saana manake kwa munkari waliyokuwa nayo wananchi angetoa wito kudai haki iliyoporwa damu ingemwagika kama ccm walivyokuwa wakihubiri manake walijua watachakachua kura. Viva dr slaa viva pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz power --mwendo mdundo.
 
Majimaji, ndio tuzo ipi hiyo? Ya Jihad? Kwani nijuavyo vita ya majimaji ilikuwa ni Jihad!
 
Majimaji, ndio tuzo ipi hiyo? Ya Jihad? Kwani nijuavyo vita ya majimaji ilikuwa ni Jihad!

Vita vya majimaji vilipiganwa miaka ya mwanzo ya 1900 huko. Sijui ni kwa nini uite Jihad au huna msamiati mwingine?

Dr. Slaa atapata tuzo nyingi sana, mpaka atakosa pa kuziweka!
 
Nkikabila chake na mtandao wake wa kikatoliki ulio mtunza tuzo hilo, wapo wengi wanaostaili hapa bungeni, waliopambana miaka mingi mpaka leo sio mchungaji

Hii sherehe ya tuzo imefanyika kanisani unategemea nini ???? ni uleule mtandao wa kikabila na kidini

Hii si kweli!! ushahidi tafadhali....sio kuropoka ropoka tu
 
Vita vya majimaji vilipiganwa miaka ya mwanzo ya 1900 huko. Sijui ni kwa nini uite Jihad au huna msamiati mwingine?

Dr. Slaa atapata tuzo nyingi sana, mpaka atakosa pa kuziweka!

Kasome historia ndio utaelewa nnacho kiandika.
 
Hongera mpiganaji mungu akutangulie!Wenye jicho la hasidi wanywe sumu wafe
 
Big up Dr. Tuko nyuma yako. CHADEMA itaendelea kudumu. Coach vijana sasa bunge la sasa liendelee kuwa bora.
 
Nadhani tuzo inayofuata itakwenda kwa kikwete dr.feki kwa kuwaletea watz "maisha bora kwa kila mtanzania"......nampa kikwete hongera in advance.
 
Hongera Dr. wa Ukweli (PHD) Slaa
Rais ni Mmoja tu wa NEC si nchi yetu , msirudie tena kusema Tanzania ni nchi ya kidemocrasia, pia Zanzibar, uwezi kuwa na serikari ya kitaifa kwa kuungana baada ya ushindi ukasema demeocrasia imetumika
 
Nadhani tuzo inayofuata itakwenda kwa kikwete dr.feki kwa kuwaletea watz "maisha bora kwa kila mtanzania"......nampa kikwete hongera in advance.

JK mnamuonea gere! Hamumpati hata chembe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom