Dk. Slaa atuzwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Maji Maji kwa mchango wake Bungeni!

Status
Not open for further replies.

Mongoiwe

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
524
263
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimemtunukia aliyekuwa mgombea Urais na Katibu mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Peter Silaa tuzo ya Majimaji kutokana na mchango wake katika Bunge lililopita wakati alipokuwa mbunge wa Karatu.

Tuzo hiyo amekabidhiwa leo usiku katika sherehe zilizofanyika huko jijini Dar eneo la Kijitonyama.

Mpaka sasa Dk. Slaa anakuwa mtu wa pili kutuzwa tuzo hii ambayo hutolewa mara moja kila baada ya miaka mitano huku wa kwanza akiwa ni Jaji Mwalusanya aliyeipokea Mwaka 2005.
 
Congratulations Mr. President.
 
Angekuwa na tamaa ya madaraka angetangaza baraza lake la mawaziri kama OUATARRA.

Huyu ndiyo Doctor wa Ukweli, pamoja na kuibiwa kura katumia busara.

Hongera Rais wangu, ulistahili hiyo tuzo na nyingine nyingi.
 
Hongera prezidaa wangu wa ukweli nilikupigia kampeni mpaka kina mama wakakupigia kura usikate tamaa mapambano ya katiba mpya huku chuo st joseph 80% wanakusupport'one love
 
Hongera Slaa and you really deserve it. Mwaka haukwenda vibaya, mama wamempigia kelele ukajitwalia pamoja na zawadi kibindoni aisha yanasonga mbele. 2015 utakuwa na umri sawa na wa EL tunakuhitaji wewe na katika muda huo hakuna uchakachuaji.
 
Nafarijika nnapoona kuna baadhi ya mashirika yanayotambua na kumuthamini mu Tz mlala hoi kwa kumuunga mkono na kumfariji mtetezi wetu. Hongereni kituo cha sheria na hongera Dr Slaa
 
Nkikabila chake na mtandao wake wa kikatoliki ulio mtunza tuzo hilo, wapo wengi wanaostaili hapa bungeni, waliopambana miaka mingi mpaka leo sio mchungaji

Hii sherehe ya tuzo imefanyika kanisani unategemea nini ???? ni uleule mtandao wa kikabila na kidini
 
Tanzania has one president, its not like Ivory Coast. We have his excellency J.M.Kikwete

Nani kakwambia???? Slaa ni Rais aliyechaguliwa na wananchi na Kilaza wenu ni aliyechaguliwa na NEC. Kua uyaone naona umetoka kuamka au mgeni kwenye nchi hii.
 
Nkikabila chake na mtandao wake wa kikatoliki ulio mtunza tuzo hilo, wapo wengi wanaostaili hapa bungeni, waliopambana miaka mingi mpaka leo sio mchungaji

Hii sherehe ya tuzo imefanyika kanisani unategemea nini ???? ni uleule mtandao wa kikabila na kidini

Tupatie mifano kiazi wewe...
 
Tanzania has one president, its not like Ivory Coast. We have his excellency J.M.Kikwete

Tanzania has only 2 president by law. The katiba na JK na president of Tanganyika Law Society is there by law. Now sisi wanachadema rais wetu ni H.E. Dr. W.Slaa. Cc c Tanzania ila wanachadema...
 
Tanzania has only 2 president by law. The katiba na JK na president of Tanganyika Law Society is there by law. Now sisi wanachadema rais wetu ni H.E. Dr. W.Slaa. Cc c Tanzania ila wanachadema...

Mbona hueleweki???? jarbu kutumia lugha unayoweza kuimudu... haina haja ya kulazimisha lugha usizoziweza. Usije ukatukana.... kiswahili tafadha... kiswahili...
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom