Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Kama pengo naye alivoropoka bila kutafiti .sina tatizo na slaa kwani kama ana nia ya kuleta battle it is good wengine tunawashwa huoni hata libya hivi sasa shwari kila mtu boss as long as you have the AK 47.Keep it up slaa .hawa maaskofu na mashehe waache wanasiasa kunyukana,hivi mtu kama pengo atapata wapi mda wa kutafiti hana elimu hiyo.yeye kasoma,esau akaenda ninawi na huko akakuta makutano mengi akabadili konyagi kuwa champgne.hawezi kutafiti siasa.
Kama cdm itaondoa hisia za udini na ukabila it is a gøod party
 
Na hilo ndio tatizo kubwa la Chadema ingawa wenyewe wanajitahidi kuficha Ukweli hawajui kuwa hilo ni kama Pembe la Ng'ombe.
Udini, Ukabila na Ukanda unaimaliza Chadema
 
Hivi huyu pengo aliposema hajali kuuliwa alikua na maana gani ama ndo kajitosa kwenye siasa?alifanya utafiti juu ya kauli yake?kwani tz hatuna utamaduni wa kuua viongozi wa dini kama moi vile akifanya.nadhani pengo kama hana kazi awage anaenda kufundisha katekismu or whatever nasikia and cerficate ya theology aitumie vizuri ama sio mchungaji pengo
 
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.Kauli hiyo ya Dk Slaa imekuja siku moja baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania , Mufti Issa bin Shaaban Simba kukishutumu chama hicho kwamba maandamano yake kinayofanya hivi sasa yana lengo la kuvuruga amani ya nchi.

Katibu Mkuu huyo wa Chadema alisema ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Mufti Simba kuwa chama chake kina lengo la kuvuruga amani nchini.“Nimeshangazwa sana na kauli ya Sheikh Mkuu, Mufti Simba aliyoitoa kwa vyombo vya habari.
Kimsingi kama alitaka kujua undani wa maandamano yetu angetuuliza kuliko kutoa tamko bila kujua hata undani wa Chadema,” alisema na kuongeza kuwa baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitoa tamko bila ya kufanyia utafiti jambo ambalo linawafanya watoe maelezo yasiyo na ukweli na yanayolenga kuwapotosha na kuchochea chuki kwa wafuasi wake.Dk Slaa alisema Chadema inajua inachokifanya, hivyo kama mtu anahitaji kujua madhumuni ya maandamano yao ni vyema akawauliza ili

kitoe ufafanuzi kwa kuwa kila jambo liko wazi kwa maslahi ya wananchi wenyewe.“Sioni haja ya kulumbana na kujibizana kila kukicha kupitia vyombo vya habari. Kama wana hoja ya msingi wailete sisi tutaijibu kwa hoja siyo kuongea mambo kwa mtazamo na propaganda za kisiasa. Unapozungumza ni lazima kuwe na utaratibu wa kutafiti unachokizungumza,” alisema Dk Slaa.

Aliwataka viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya chama hicho ili kusikia na kujua kinachozungumzwa na Chadema kuliko kusubiri kusimuliwa na watu na kisha kuyaamini maneno yao.Alisema amelazimika kumjibu Mufti Simba kwa kuwa amesikitishwa na kauli hiyo ambayo alisema badala ya kuwasaidia Watanzania, inachochea chuki na kuruhusu ufisadi kuendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam juzi, Mufti Simba alisema: “Wanasiasa wanataka kuivuruga nchi kwa visingizio kuwa wanataka kuilinda amani, hivyo Waislamu tumeamua kuvunja ukimya uliodumu kwa muda mrefu na kuamua kukekemea vitendo hivyo.”Mjadala wa uhalali wa mikutano na maandamano ya Chadema uliibuliwa na Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia taifa kupitia redio na televisheni mwishoni mwa Februari kwamba chama hicho cha upinzani kina lengo la kuleta machafuko nchini.

Kauli hiyo ilifuatiwa na onyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira kuwa Chadema kisije kuilaumu Serikali itakapokosa uvumilivu na kuanza kutumia dola kukishughulikia.Wakatihuo huo; Dk Slaa amesema ziara zinazofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali ni matunda ya maandamano ya chama hicho katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alisema Serikali imeanza kutekeleza madai mengi ambayo Chadema ilitaka iyafanyie kazi ndani ya siku tisa. Hata hivyo, alisema chama hicho kitaendelea kutia shinikizo hadi mambo yote yatakapokamilishwa.“Hayo ni matunda ya maandamano yetu japo utekelezaji wake hauridhishi kwa kiwango tulichotaka.

Lakini imedhihirika kwamba mambo hayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi. Inashangaza kuona wengine wanayaita maandamano kuwa ni ya kuvuruga amani,” alisema.Alisema kuwa matunda mengine ya maandamano ya Chadema yaliyofanyika mkoani Mwanza ni tamko la Rais la kupunguza bei ya sukari kutoka Sh2,200 hadi Sh1,700.Rais Jakaya Kikwete anatembelea wizara mbalimbali kukagua utekelezaji wa maagizo ya yake.

tumuache mla kashata na kahawa
 
Hivi huyu kiongozi wa dine shehe/mufti kwani hakuna-retirement, mbona naona kama kazeeka sana na nadhani akili nayo itakuwa imezeeka. Huwa hamna utaratibu wa kupumzika?
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
Ni vizuri ungejibu hoja Dr Slaa aliulizwa na mwandishi na hayo yakawa majibu yake yaani umejiunga kwenye jamvi ili kuja kumtukana DR Slaa,kweli wewe hujui ulitendalo ondoa udini wako hapa
 
Na hilo ndio tatizo kubwa la Chadema ingawa wenyewe wanajitahidi kuficha Ukweli hawajui kuwa hilo ni kama Pembe la Ng'ombe.
Udini, Ukabila na Ukanda unaimaliza Chadema
hayo ndio maoni yako watanzania wengi wanajua Chadema inasimamia nini
 
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.Kauli hiyo ya Dk Slaa imekuja siku moja baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania , Mufti Issa bin Shaaban Simba kukishutumu chama hicho kwamba maandamano yake kinayofanya hivi sasa yana lengo la kuvuruga amani ya nchi.

Katibu Mkuu huyo wa Chadema alisema ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Mufti Simba kuwa chama chake kina lengo la kuvuruga amani nchini.“Nimeshangazwa sana na kauli ya Sheikh Mkuu, Mufti Simba aliyoitoa kwa vyombo vya habari.
Kimsingi kama alitaka kujua undani wa maandamano yetu angetuuliza kuliko kutoa tamko bila kujua hata undani wa Chadema,” alisema na kuongeza kuwa baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitoa tamko bila ya kufanyia utafiti jambo ambalo linawafanya watoe maelezo yasiyo na ukweli na yanayolenga kuwapotosha na kuchochea chuki kwa wafuasi wake.Dk Slaa alisema Chadema inajua inachokifanya, hivyo kama mtu anahitaji kujua madhumuni ya maandamano yao ni vyema akawauliza ili

kitoe ufafanuzi kwa kuwa kila jambo liko wazi kwa maslahi ya wananchi wenyewe.“Sioni haja ya kulumbana na kujibizana kila kukicha kupitia vyombo vya habari. Kama wana hoja ya msingi wailete sisi tutaijibu kwa hoja siyo kuongea mambo kwa mtazamo na propaganda za kisiasa. Unapozungumza ni lazima kuwe na utaratibu wa kutafiti unachokizungumza,” alisema Dk Slaa.

Aliwataka viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya chama hicho ili kusikia na kujua kinachozungumzwa na Chadema kuliko kusubiri kusimuliwa na watu na kisha kuyaamini maneno yao.Alisema amelazimika kumjibu Mufti Simba kwa kuwa amesikitishwa na kauli hiyo ambayo alisema badala ya kuwasaidia Watanzania, inachochea chuki na kuruhusu ufisadi kuendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam juzi, Mufti Simba alisema: “Wanasiasa wanataka kuivuruga nchi kwa visingizio kuwa wanataka kuilinda amani, hivyo Waislamu tumeamua kuvunja ukimya uliodumu kwa muda mrefu na kuamua kukekemea vitendo hivyo.”Mjadala wa uhalali wa mikutano na maandamano ya Chadema uliibuliwa na Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia taifa kupitia redio na televisheni mwishoni mwa Februari kwamba chama hicho cha upinzani kina lengo la kuleta machafuko nchini.

Kauli hiyo ilifuatiwa na onyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira kuwa Chadema kisije kuilaumu Serikali itakapokosa uvumilivu na kuanza kutumia dola kukishughulikia.Wakatihuo huo; Dk Slaa amesema ziara zinazofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali ni matunda ya maandamano ya chama hicho katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alisema Serikali imeanza kutekeleza madai mengi ambayo Chadema ilitaka iyafanyie kazi ndani ya siku tisa. Hata hivyo, alisema chama hicho kitaendelea kutia shinikizo hadi mambo yote yatakapokamilishwa.“Hayo ni matunda ya maandamano yetu japo utekelezaji wake hauridhishi kwa kiwango tulichotaka.

Lakini imedhihirika kwamba mambo hayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi. Inashangaza kuona wengine wanayaita maandamano kuwa ni ya kuvuruga amani,” alisema.Alisema kuwa matunda mengine ya maandamano ya Chadema yaliyofanyika mkoani Mwanza ni tamko la Rais la kupunguza bei ya sukari kutoka Sh2,200 hadi Sh1,700.Rais Jakaya Kikwete anatembelea wizara mbalimbali kukagua utekelezaji wa maagizo ya yake.
Inasikitisha sana ndugu zetu waislam mpaka leo karne ya 21 bado mna inferiority complex, hamjibu hoja kwa hoja bali kwa matusi.Inawasaidia nini? Angalia huyo simba anatoa weak comments zake binafsi ila kwa makusudi mazima kabisa anasema kuwa ni za waislam wote!!!!!!!!!!!!!.??? Hamuoni kuwa huyo ni kiongozi hatari anayewapandikiza chuki!!. Nani asiyemjua Dr Slaa kwa mambo makubwa na changamoto alizoleta kwa watawala mafisadi wa nchi yetu hii masikini ila yenye rasilimali lukuki!!! Nawaomba ndugu Simba na wengine wenye kutumika kama yeye kwa maslahi ya mafisadi waache maramoja kuropoka hovyo na badala yake wakemee uongozi huu dhalimu wa CCM usio na huruma na wananchi wanaotabika na umasikini uliotopea.:angry:
 
Basi hawa maaskofu kama pengo wanaishi kama wako peponi ndani ya ngome mwanangu kila kitu wanapata bila jasho wanakula wanachotaka,mvinyo ,wine bear,divai,mikuku ya kumwaga ,wanaishi kama wafalume fulani sioni ajabu askofu anapojisahau na kujidhani yeye ndo rais hence reaction toka upande wa pili .nachojiuliza sana mbona pope hana kiherehere cha hivo.ACHENI WANASIASA WANYUKANE VIONGOZI WA DINI KEEP KWAYATI
 
Kama pengo naye alivoropoka bila kutafiti .sina tatizo na slaa kwani kama ana nia ya kuleta battle it is good wengine tunawashwa huoni hata libya hivi sasa shwari kila mtu boss as long as you have the AK 47.Keep it up slaa .hawa maaskofu na mashehe waache wanasiasa kunyukana,hivi mtu kama pengo atapata wapi mda wa kutafiti hana elimu hiyo.yeye kasoma,esau akaenda ninawi na huko akakuta makutano mengi akabadili konyagi kuwa champgne.hawezi kutafiti siasa.
Kama cdm itaondoa hisia za udini na ukabila it is a gøod party

Elungata umenimaliza yaani maneno yako ni kweli waambie hawa CDM wadini na ajenda yao iko wazi. kwanza hamna anayejua wakristo ni waoga. Zimbabwe walitangaza maandamano nchi nzima tarehe 3 march kuwekewa polisi wote walifyata mkia ngoja watutesti tupate pepo we.
 
Hivi huyu kiongozi wa dine shehe/mufti kwani hakuna-retirement, mbona naona kama kazeeka sana na nadhani akili nayo itakuwa imezeeka. Huwa hamna utaratibu wa kupumzika?
MSHAPU hongera mtu akizeeka na akili inazeeka ndo biolojia ya wapi kaka Kanisani au kwa babu loliondo? Niambie hua imebaki % ngapi? reference. au unapiga porojo wakuone nawe mtu
 
Basi hawa maaskofu kama pengo wanaishi kama wako peponi ndani ya ngome mwanangu kila kitu wanapata bila jasho wanakula wanachotaka,mvinyo ,wine bear,divai,mikuku ya kumwaga ,wanaishi kama wafalume fulani sioni ajabu askofu anapojisahau na kujidhani yeye ndo rais hence reaction toka upande wa pili .nachojiuliza sana mbona pope hana kiherehere cha hivo.ACHENI WANASIASA WANYUKANE VIONGOZI WA DINI KEEP KWAYATI
 
hayo ndio maoni yako watanzania wengi wanajua Chadema inasimamia nini

Hata sisi TABORA tunajua tabora wanatutetea, wao wanasema sukari shilingi elfu mbili wanajua sisi urambo tunanunua shilingi ngapi, au hata wao hawajafanya utafiti?
 
Haya kwa wale msiotaka maoni tofauti na ya kwenu kwenye thread hii.i guote,'i have never seen a humanbeing accept something in real sense when being forced.people will listen when they wish.
If we christian are beang honest to ourself we produce some of the hypocrites in the world,people who hide behind bible while living a non christian life and doing evil thing
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
Hivi kwani lazima uandike maoni? Huoni kuwa Mufti amekosea kutoa matamshi ya kuvunja amani na kuleta chuki? Kwa mfano unakubaliana nae kuwa Kikwete anakosolewa kwa vile mwislamu? Je, hata taasisi ya Mwalimu Nyerere ikijumuisha watu kama Dr Salim walivyomwambia Kikwete kama ameshindwa kazi asigombee tena nao wanasukumwa na udini? Usiwe shabiki, chambua hoja. Pengo haweza kutoa tuhuma za kipuuzi kama hizi. Au tupe mfano wa kauli tata za Pengo kama unazo.
 
Haya kwa wale msiotaka maoni tofauti na ya kwenu kwenye thread hii.i guote,'i have never seen a humanbeing accept something in real sense when being forced.people will listen when they wish.
If we christian are beang honest to ourself we produce some of the hypocrites in the world,people who hide behind bible while living a non christian life and doing evil thing
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

Mkuu hebu tuwe wakweli,ktk hii thread kuna mahala popote Dr slaa amedharau dini yoyote, mbona sjaona dini ilotamkwa hapo? Amesema viongozi wa dini,hii inamaanisha viongozi na si dini zenyewe,tena dini zote,hakubagua.Mtu unapokurupuka na immotions zako kama vile ulitanguliza miguu wakakati wa kuzaliwa,ndiye unayeiaibisha dini yako,na hakika kwa mtindo huo hiyo dini yako kwa vyovyote vile
itakua ya kipumbavu tu.Ndo mana mnaambiwaga hamjaenda shule,mnajidhihirisha.
 
Naendelea kuguote.'you cant fault peaople for GUESTINING our MOTIVE or why we should indendify with christianianty when we have this long history of these things,enslavement,MURDER etc.i have read church history from the catholic to protestant to evangelical to copt church and beyond trust me it is possible to form a lastinh bonds and love those who are not of your religion you will never lose your christianity identity UNLESS IT WAS NOT THERE.mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom