Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

Status
Not open for further replies.
Haya ndomakombora yameanza nini? Haya tutasikia na kuona mengi. Pole Dr Slaa, Upone haraka uendeleze mapambano
Mangi nadhani ni ajali ya kawaida tu. Ingekuwa ni makombora basi madhara yangekuwa makubwa zaidi maana alipotoka hospitali alitangaza kuendelea na ratiba yake ya kuhutubia wananchi hapo mwanza...ingawa ni vizuri pia kuwa na tahadhari zaidi katika kipindi huki.
 
Nilipatwa mshituko kuwa "Miaka miwili ya kampeni ya SLAA FOR PRESIDENT hapa ndani ya JF ndiyo inapotea".

Dr.Slaa, hebu usitupe tena shock kama hii hadi utakapomaliza kazi yako ya Urais mwaka 2020.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Dr. Slaa.
 
Khe khe khe angalia sasa isije kutokea ajali yenyewe ... .... chacha chijui itakuwa kwa Kikwete au Slaa?
 
Ooh hiyo ni ajali tu ya kawaida inayoweza kumpata soldier awapo vitani. Get well really commander, We are together as we are praying for you.
 
Star tv wanaripoti kuwa dk slaa kavunjika mkono

baada ya kuteleza bafuni.......

23vcp3s.jpg



Alikuwa anatwanga makamuzi ya alone?
 
ndio mapambano hayo Dr. Slaa, hata JK alishawahi kuanguka, tena in public
 
Pole Dr, JK naye aliwahi anguka pale Jangwani ! na kule Mwanza kuna jamaa aling'ang'ania mguu wake.Zote ni harakati za uchaguzi tuu...hakuna kilichoharibika.
 
Pole Dr, JK naye aliwahi anguka pale Jangwani ! na kule Mwanza kuna jamaa aling'ang'ania mguu wake.Zote ni harakati za uchaguzi tuu...hakuna kilichoharibika.

Nilisema tangu mwanzo vita ya ukombozi inataka na maombi kwa mola...kupambana na nguvu za giza za msoga .....MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
da pole sana mheshimiwa,lakini kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa ameteguka tu na si vingenenvyo.haya bwana hilo ni kawaida tu na mapambano kama kawa lazima tutingishe sana mwaka huu.
 
Mambo gani haya,jamani mgombea awe anafikia hotel nzuri,sio mradi hoteli tu.watu wengi tuna kura zake jamani.mbowe take care.
 
Jamani nani mwenye mpya za mtu wetu dr. Slaa! Nimeona kwa kifupi tuu kuwa kavunjika mkono.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom