Liu Dung Xiuan
Member
- Jan 5, 2014
- 66
- 16
Nilisema tangu mwanzo vita ya ukombozi inataka na maombi kwa mola...kupambana na nguvu za giza za msoga .....MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ndugu uwe na ufahamu basi, nguvu za giza za Msoga zinaingia vipi hapa, kwani kuanguka ni jambo geni? Halafu hizo nguvu za giza unazosema za Msoga zinaingia vipi hapa wakati huyo wa Msoga anamaliza muda wake .