Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

Status
Not open for further replies.

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Star tv wanaripoti kuwa dk slaa kavunjika mkono

baada ya kuteleza bafuni.......

23vcp3s.jpg
 
Taarifa nilizopata ni kuwa yule mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk. Slaa amepata ajali na kwamba japo hali yake inaelezwa kuwa nzuri, inasemekama amevunjika mkono wa kushoto.
naendelea fuatilia tutafahamishana zaidi.
 
Acha kushtua watu


amedondoka bafuni na hali yake nzuri,anaendelea na kampeni..
Mkono umevunjika kidogo.
 
Duh! Mungu amsaidie mpiganaji wetu apone haraka huo mkono. Pole sana Dakta.
 
Kwa sisi tulio na uzalendo na nchi yetu, tunapenda wagombea wote waanze shughuli salama na wamalize kwa amani. Sasa hii taarifa kuhusu kuumia Dr Slaa, mwenye taarifa kamili basi atujulishe. Hii habari mara kapata ajali, mara kadondoka bafuni inatuchanganya. Mwenye taarifa za uhakika atujulishe. hii hali kama ni hivyo, inanikumbusha mwaka ule Mh Mwai Kibaki alipoumia mguu wakati wa kampeni, lakini mambo baadaye yalikuja kuwa mazuri, mguu umepona.
 
Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya redio free africa kua Dr. Slaa amevunjika mkono baada ya kuanguka bafuni wakati anaoga! Dr. Amepata matibabu katika. Hospitali ya bugando na hali inaendelea vizuri! Jioni atahutubia shinyanga! Pole sana Dr. Twakuombea upone haraka!
 
Nampa pole zake nyingi. Mungu ampe wepesi apone haraka na kuendelea na mapambano. Tuko pamoja nae! 2010 lazima kieleweke.
 
hotel ambazo hazina viwango/ukaguzi wa idara ya afya kazini (OH&S) Occupational Health and safety. Risks are not controled in most of the hotels in Tanzania.

Na lazima bafuni kuna zile tiles za kuteleza 'kung'a" badala ya kuwekwa zenye 'rafu' ugumu fulani hive ili kama zinapata unyevunyevu zisiteleze kirahisi.
Dr anaweza kuwashtaki na kujichotea hela za ajabu.

Nenda Mheshimiwa Slaa. NEnda baba!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom