Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

Status
Not open for further replies.
Mimi nadhani wangesema ameteguka mkono, maana kuvunjika mkono ni muziki mkubwa huo, anyway Pole sana Rais Mtarajiwa nakuombea safari njema hadi mwisho wa Dahari
 
Makamuzi ya alone... ndio mambo gani tena?

labda alikua anamaanisha kujichua si unajua kadondoka bafuni tehe tehe .

Hope atakuwa ok ila inabidi awe makini kufuata ushauri wa daktari maana aneenda kuwa rais so wa make sure mkono unakuwa ktk hali nzuri.
 
Jamani musiwabeze CCM hawatabiriki hao...wasijekumfanya Dr....kama walivyomfanya...Prof....kule sala sala...maana wao hawataki mgombea mwenza hata huyo wa chama cha siasa.
 
Pole Dr Slaa. Bwana mwema na akuponye kwa nguvu na uweza wake ili uendelee na shughuli zako za ujenzi wa taifa.
 
Huu utelezi utakuwa umepandikizwa na mafioso wa CCM lakini shujaa kanusurika. Mliendeni Slaa kwa kila hali, hao CCM wanaweza kufanya chochote ili kumdhuru.
 
Pole sana Dr. Tumuombee apone haraka aendelee na harakati zake,
Hata mimi nilishawahi kuanguka bafuni nikiwa napiga self sex nikatenguka mkono. Once again pole Dr.
 
Dah afadhali, maana ingekua kiuno hapo kimwana angemkimbia na kurudi kwa mumewe wa zamani
 
Pole kamanda wetu M/Mungu akufanyie wepesi upone haraka ili uendelee kuwakimbiza Magamba,Inshallah.
 
Kuna watu wajinga tanzania, mpaka kero. Hivi ni lini majitu ya nchi hii yataamka toka ktk usingizi wa ujinga?*
Hawaoni hata tarehe?
Kweli watakuwa na macho lakini hawataona...masikio...hawatasikia.
 
Kuna watu wajinga tanzania, mpaka kero. Hivi ni lini majitu ya nchi hii yataamka toka ktk usingizi wa ujinga?*
Hawaoni hata tarehe?
Kweli watakuwa na macho lakini hawataona...masikio...hawatasikia.

Ndio upeo wa watu wetu halafu wanalalamika baada ya uchaguzi wakati hata kitu kama hiki watu hawanotice .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom