Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,653
- 20,989
Hivi anakumbuka tena kama kuna chama kinaitwa chadema kweli!!!!
Du!"Rais wa mioyo yetu."
Mafisadi ni noma. Kutoka kuwa Rais hadi msaliti!
Za mwenyekiti alizopewa na mafisadi zitaisha lini?NA kweli.Zitakwisha tu Pesa za rushwa
Kweli mafisadi noma.Mzee wa watu mlimwita Rais lkn leo kawa Dr mihogo?!Zibarikiwe sana pesa za mafisadi zilizoweza badilisha fikra zenu.
HaraFu bata mwenyewe sijamuonaKweli mafisadi noma.Mzee wa watu mlimwita Rais lkn leo kawa Dr mihogo?!Zibarikiwe sana pesa za mafisadi zilizoweza badilisha fikra zenu.
Mwache ale bata.
Mke wa mtu ni sumu..Mchumba wake Yuko wapi?