Dk. Slaa akila zake bata mamtoni...

Mwache ale bata.
Tangu aondoke hakuna tena operesheni yoyote ya chadema ishafanikiwa...
Hakuna maandamano yoyote hata ya amani..
Matamko hewa....
Ukuta hewa
Kwani hujui kuwa Kuna ahadi ya kuua watu wakiandamana?? Sijaribiwi?!!!! Unapenda watu wafe eeeeeeehhhh.......

Tatizo kubwa la huyu Mzee ni kutokuwa na uzoefu na akina bibie mwisho akapata watumia vipodozi podo, naye akabaki macho kodo!!

Slaa as Slaa hana tatizo na ni hero, tatizo ni kiambata chake (attachment)!!!
 
Mnapata shida kwa sababu ya upumbavu wenu.
Hakuna mtu anayekubali watu wafanye maandamano yasiyo na kikomo, kwa wakati mmoja nchi nzima.
Hii sio "Arab Spring".

Mlidhani mnatangaza kwa sifa wakati huo ndo upumbavu uliowapiga.

Hata Mbowe hawezi kukubali wanachama wanaompinga wafanye ujinga huo....
Sijui mlikuwa mnatumia akili za kuazima???

Ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom