Dk Slaa afunguka

Lamgambo limelia sasa ni kuchanja mbuga tu hadi wapinzani wetu wakae.
Tutaendelea kuwapatia oil chafu kadri tunavyofanya service!
 
Pia msisahau kuandaa kundi jingine kujipanga kwa ajili ya mabaraza ya katiba kwenye level zote msije pigwa goli la kisigino,dalili zote zinaonyesha wapinzani wamejipanga vilivyo kupata idadi kubwa ya wajumbe wa mabaraza ya katiba
 
Naikubali CHADEMA yaani huo motoo utakua nimtiti wakufa mtu,ccm puresha inapanda na kushuka,wamezima kamati ya mashirika ya uma wanazima tv wakati wa bunge,na dalili nilisha ziona tbc eti inajifanya kukatika katika kumbe ulikua usanii,muda ukifika kila kitu kita be open.nikiwa sms maspika wanajibu kibabe ipo siku watajuta
 
DR 2nashukuru sn kwa mikakati ya ushnd namin kabis 2014 njia nyeupee. ila cwaelew kwny media cjui mnaogopa nn?
 
Mungu atembee pamoja nao na kila mahali watakapofika watu waweze kufunguliwa kutoka katika utumwa wa mawazo na wafamu kweli ya kwamba chama makini kilichobeba matumaini ya kuleta unafuu wa maisha na kulinda rasilimali za watanzania ni chadema
 
co unaikubuli kwa kusubr uwekewe matukio jamiiforum j2men nendeni kwenye scene,nyio ndo mnaua chama.
 
Kwenye huo mkakati hata kama uongozi siuwezi lakini naamini kwenye kuongoza kaya 10 hapo nitaweza kabisa!
Karibu April na karibu M4C

Mkuu Noboka Hakika wewe ni Kamanda.
 
Last edited by a moderator:
safi sana na hizo pikipiki laki tatu zitakuwa zimeanza kazi well done Dr.
 
Safi sana CDM..mwka huu utakua mwaka wa maajabu sana kisiasa katika nchi hii....saafi sana DR SLAA.....
 
Back
Top Bottom