una mume?
MOlemo na DR wako mumekuwa watu wa hadithi hadithi tu kila siku mulituambia January mara mkasema February ,mara march sasa April tutasikia may tunataka kuona utekelezaji sio hadithi tarehe na miezi kila siku
Kijijini kwetu kuna watu 876 na wote ni wa ukoo mmoja. Mkijaribu kusogelea yatakayowapata msilalamike.
Sijasikia strategy ya CCM
...Kiongozi huyo ameendelea kusema M4C itaimarisha misingi ya chama vijijini.Katika kila kaya 30 za Familia Chadema itakuwa na kiongozi atakayeitwa Balozi na katika kila kaya 10 kutakuwa na shina ambalo litaitwa ngazi ya msingi ya uongozi....
G Lema
njoo sakina mafungu ya nyumba 30 tumesha yaanda...ni bendera tu pia msisahau kutuweka kwenye data base...GIS pia itumike.....1, 2, 3 ,4 mpaka 30 hizo ni za chadema..magamba hakuna.... itabidi tuandae watu maalum kwa kazi hii...
asitupotezee muda huyu mzee