mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,195 Jun 17, 2015 #161 naona Padre aliekimbia kanisa kaenda kumzika shekh
T the manager Member Joined Jun 5, 2015 Posts 93 Reaction score 13 Jun 17, 2015 #162 Mzaramo choka mbaya wewe ulikimbia nini?
breem Senior Member Joined Feb 7, 2010 Posts 110 Reaction score 38 Jun 17, 2015 #163 Padre Slaa kazeeka nae sijui kama nchi ataiweza.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,937 Reaction score 5,754 Jun 17, 2015 #164 FaizaFoxy said: Achana na mimi, changia hoja zangu. Click to expand... Ivi ww bibi upo ushatoka msiban au nyie ndo wale msiotambua bakwata
FaizaFoxy said: Achana na mimi, changia hoja zangu. Click to expand... Ivi ww bibi upo ushatoka msiban au nyie ndo wale msiotambua bakwata
N Ngolombwe JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 267 Reaction score 76 Jun 18, 2015 #165 Bavaria said: Personality ya kuitwa president inatakiwa iweje? Nipe mfano wa mtu mwenye hiyo "personality". Click to expand... kama hiyo hapo mkuu. Attachments 1434584256417.jpg 8.4 KB · Views: 145
Bavaria said: Personality ya kuitwa president inatakiwa iweje? Nipe mfano wa mtu mwenye hiyo "personality". Click to expand... kama hiyo hapo mkuu.
chipolopolo 2 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 3,292 Reaction score 1,841 Jun 18, 2015 #166 Ngolombwe said: kama hiyo hapo mkuu. Click to expand... Hiyo pic inapendezea kuwekwa kwenye not ya sh elfu kumi
Ngolombwe said: kama hiyo hapo mkuu. Click to expand... Hiyo pic inapendezea kuwekwa kwenye not ya sh elfu kumi
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Jun 19, 2015 #167 Ngolombwe said: kama hiyo hapo mkuu. Click to expand... Huyo aliesema haifai kuwa personality ya rais alitumia vigezo gani?
Ngolombwe said: kama hiyo hapo mkuu. Click to expand... Huyo aliesema haifai kuwa personality ya rais alitumia vigezo gani?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Jun 19, 2015 #168 FaizaFoxy said: Mtazame Kikwete. Click to expand... Kikwete ndo SI unity ya personality ya kuwa rais tanzania? Mara mia tusiwe na rais mwenye personality na anatuletea maendeleo kuliko kuwa na rais handsome ila bogus kichwani...
FaizaFoxy said: Mtazame Kikwete. Click to expand... Kikwete ndo SI unity ya personality ya kuwa rais tanzania? Mara mia tusiwe na rais mwenye personality na anatuletea maendeleo kuliko kuwa na rais handsome ila bogus kichwani...
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Jun 19, 2015 #169 Bavaria said: Kikwete ndo SI unity ya personality ya kuwa rais tanzania? Mara mia tusiwe na rais mwenye personality na anatuletea maendeleo kuliko kuwa na rais handsome ila bogus kichwani... Click to expand... Tulinganishe maendeleo ya Kikwete kwa miaka 9 yake na ya wote wa kabla yake kwa miaka yao zaidi ya 44, nnakuhakikishia hata nusu ya maendeleo aliyoyaleta Kikwete hawamfikii kwenye kila nyanja.
Bavaria said: Kikwete ndo SI unity ya personality ya kuwa rais tanzania? Mara mia tusiwe na rais mwenye personality na anatuletea maendeleo kuliko kuwa na rais handsome ila bogus kichwani... Click to expand... Tulinganishe maendeleo ya Kikwete kwa miaka 9 yake na ya wote wa kabla yake kwa miaka yao zaidi ya 44, nnakuhakikishia hata nusu ya maendeleo aliyoyaleta Kikwete hawamfikii kwenye kila nyanja.