Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

@dr slaa mara zote sio mnafiki.

Atakuja kwenye hii thread na kujibu maswali yenu ama kuweka sana kila kitu.

Ngojeni shift yake iishe.
 
@dr slaa mara zote sio mnafiki.

Atakuja kwenye hii thread na kujibu maswali yenu ama kuweka sana kila kitu.

Ngojeni shift yake iishe.

Kwa sasa yupo shift siyo......ha ha ha ha ha ha ha...man at work...kwa Kiswahili....'mwanaume kwenye kazi'.....ha ha ha ha ha..Tanzania buana, nchi ya raha na karaha.
 
Slaa ni muuza duka acheni kurefusha kiswahili, hata ukifka dukan utaulizia muuzaji sio Dr
 
Arudi nchini km lipumba
Mpaka leo kwa undani sijajua kilichomsibu Dr. Slaa, lakini nafikiri amekuwa muungwana sana hata kama ali ikandia CDM baada ya kutoka, lakini kwa ujumla ameiacha CDM ifuate njia yake iliyotaka sio kama Prof. Lipumba anavyo iyumbisha CUF. Tumuache aendelee na maisha yake na Mola ampe rehema.
 
Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Hahahahahah
 
Kama.Canada lazima kila.mtu anafanye kazi Je yule dokta wa kanumba wa kunyonya Sumu anafanya kazi gani huko Canada aka Wife wake???
Au ndo anamkimbiza babu wa watu mbio mbio yeye ananyoosha miguu maana anajua babu hapindui kwake
 
Dola kumi kwa saa, kwa siku analipwa si chini ya dola 80. Piga hesabu kwa mwezi ndiyo tuje kumbeza
 
Kwa hiyo anafanya kazi 24 hours? Yaani halali,hapumziki!!!!

Average Working hours ni 8 ingawa inaweza kuzidi kidogo.

Na pia kazi sio 30 days,kuna weekend,kuna jumapili n.k
Na pia hajasema kama hyo kazi yake ni full time or part time so ondoa hyo 8 hours...
 
Ila maisha hayakofair kabisa unatumia mda mwingi kusoma then unakuta umfikii aliemaliza darasa La saba ambae alianza ujasiliamali baada ya kufeli shule ana experience ya kutosha kuhusu utafutaji.
Acha utani na lugumi ....sio vizuri
 
Back
Top Bottom