Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Kwa kila SAA 20000

Kwa siku 20000×24=480,000

Kwa mwezi 480,000×30=14,400,000

Sijajua tax and rant kwa huko Canada ikoje
 
Mkuu yule demu alie nae sio mchezo anakamua balaa kumbuka ndo alikua mganga wa marehemu kanumba enzi hizo
Mganga wa Kanumba alikuwa mke wa Lissu au Slaa?
 
Naona bawacha wanamshambulia Dr Slaa eti kaishiwa hivi mtu anayemiliki hizi ndinga
images
images

Unajilinganisha nae wakati wewe hata wheel cover mbovu ya swift huna?
 
Anapata tabu tuu huyo Canada hakuna la maana hapo kuishi maisha ya kibaharia uzeeni ni kosa sana angeishi hivyo katika umri wa 20 sio mbaya sio hapo alipo...msidanganyane hakuna maisha hapo...ughaibuni maisha ghari na unalipwa hela kiasi kikubwa inapitiliza kwenye matumizi muhimu..
 
Kwa kila SAA 20000

Kwa siku 20000×24=480,000

Kwa mwezi 480,000×30=14,400,000

Sijajua tax and rant kwa huko Canada ikoje
Mkumbuke kazi hizi unaweza kufanya ukiwa umeketi nyumbani kwako(Online) hivyo kupiga kote kwa muda huo huo. Huenda ikawa Ndio sababu ya yy kusema wanamiliki hizo Gari na kumudu maisha mengine bila Tatizo. Kwa ujumla Canada ni moja ya nchi Duniani ambayo living standard iko vizuri sana kwa watu wake.
 
Hivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?

Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....

Nafikir umeongea bila kufikir mkuu....kwa haraka haraka tu labda nikwambie km lisaa anakula dola 10 ambayo kwa kuaproximate ni km buku 25 kwa 24 hrs inakua ni laki 6 ambayo kwa mwez ni mil 18....na ukumbuke ulaya wengii wanafanya kazii chini ya masaa 12 ila apo nimepgia masaa 24....kwhyo km kwa mwez anakula mil 18 wapi watu wengi bongo wanao okota zaidi ya iyo milion 18 kwa mwez kama mshahara...fanya utaft vzr
 
Wabongo ni wanafiki sana na vijicho vitatupeleka kubaya. Mbona anaonekana kuwa na kazi nyingine na hamzisemi? Na mnataka akae kule afanyaje ama labda hamuelewi kule ziko kazi mpaka za ajabu hatari watu wanafanya na wanaishi? Mlioko hapa bongo ni bora mkae hapa make kule kwanza ni kazi, ni aina gani ya kazi mtabaki kufanya umbea huko fb
 
Hapa TANAPA sijui watakuja na propaganda gani tena....mzee kaweka wazi anaishi kwa kazi ya mikono yake, nyie hangaikeni na fisadi lenu tu.
 
Na mwisho wa siku huyo mke will run away from you!
 
Back
Top Bottom