Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,047
- 3,407
Limeandika gazeti la mtanzania leo tarehe 10/11/2017
Jamani MBITIYAZAahhahaha !basi mke wa mtu naye awe anakaa mbali na bahat nzuri za namna hii kuharibiana huko hata mie sijapendezwa kbs mkuu !
Unajua wanalipwa bei gani kwa mwezi?Kwa nafasi ya yule Baba hakutakiwa kufanya Mambo za ivo maana angekaa hata kule home wap kule sijui angepata hata cha kuwekeza tofauti na kuajiriwa kwa watu huko.
Mbona huruma kwahiyo walimuungiza mjini mchana kweupeHakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
naona dr slaa angerudi nyumbani awe japo mwalimu chuo kikuu kimojawapo. angetoa mchango wa maendeleo nchini kuliko kuganga njaa ughaibuni. usaliti aliofanyiwa na wajasiriasiasa nchini bila shaka amepata funzo kwa njia ya uchungu mkubwa. kama anaipenda nchi bila shaka alipata faraja baada ya wajasiriasiasa kupigwa chini na jpm.Tz alikuwa anakula mihogo nadhani kwa jinsi vyuma vilivyokaza kwa wadhamani wake wa hapa nchini, basi huko alikuwa anakula makombo.
Lakini hongera yake, walau mkono uende kinywani. Kazi kazi.
Dr.Slaa kwa wadhifa aliowahi kuwa nao si wa kufanya kazi ya kuuza supermarketHawa Wabongo wanaomponda Dr kufanya kazi supermarket utafikiri kila mtu ana mshahara au kazi ya maana! Wengi mshahara hata 1m haufiki!
teh .Ili uishi Canada unahitaji kufanya kazi nne kwa siku, tehe tehe tehe.

muongo huyotuthibitishie aanalipwa zaidi ya milioni 5 kwa mwezi.Unajua wanalipwa bei gani kwa mwezi?
Zaidi y milioni tano.
Wewe unalipwa ngapi hapa tz?
tulia dogo. hii haijakaa sawa, toka kuwa katibu mkuu was chama kikubwa kwenda kuwa shopkeeper. haina uteteziHivi kweli Chadema ndo shukrani mnayompa mpambanaji wenu. Kuja kumkashfu kwa msimamo wake. Hivi mnajua hata kabila lake. Mnajua historia ya maisha yake na misimamo yake. Mkoje nyinyi lakini Mbona hamna Jema. So sasa Slaa mbaya ila CCM na Lowassa ndo Wema wenu. When will you people grow when will we see maturity in You. When will your arguments and discussions be grounded on reasonable and profitable vision and mission. Are you so desperate to attack and smear CCM that you use even your great and focused Commander as means to an end. Why .so sad
And secondly .in this country and most of the Countries in Europe ,to work is what makes one to be human .here ukiona tajiri ana Hotel wengi wao ndo walikuwa wapishi wazuri. Hakuna Kazi Halali yenye heshima au Sio heshima. Kazi ni Kipimo cha utu. Ndo mana sishangai sasa why mmekazana kumtukana hata mkuu ni kwa kuwa nyie ni mission town Watu wa maboom. Its so sad and the saddest thing ,is that you do not even know it that you are stupid and are being used. Cause when you loose that capacity ya kutumia akili yako ,you are just a dead person or animal for that matter. Grow and remember Change is what you make of your life.
Mil 5 unajua ana save ngapi kwa mwezi?Unajua wanalipwa bei gani kwa mwezi?
Zaidi y milioni tano.
Wewe unalipwa ngapi hapa tz?
Swali kama hilo muulize Josephine mushumbusituthibitishie aanalipwa zaidi ya milioni 5 kwa mwezi.