Rais anaapa kuilinda na kuitetea katiba. Nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais bali kwa mujibu wa sheria.. Ikiendeshwa kwa utashi wa rais ni udikteta.
Ukisema popote ulimwengu unajidanganya au kwa kujua au kutojua. Kwa arguments zako inaonekana wewe ndiye darasa la 4. Acha GT wajadili.
Endelea na imani yako. Nami nasimamia hoja zangu.Hayo ni maneno tu, wewe unafikiri ingekuwa hivyo kule Marekani wangeandamana? Fungua macho uone reality na uache kukremishwa. Kuna ideal world na real orld, wewe baki sasa na hivyo vikatiba vyako uone watu wanavyopiga kanyaga twende. Ni utashi tu baba, dunia ndivyo ulivyo, kama hukujuaga ipate leo
Yeye alikua mbunge wa jimbo gani?Acheni kujitoa ufahamu! Kwani mbunge wa jimbo akijiuzulu kipindi kama hiki inakuwaje? Je jimbo lake litabaki wazi hadi 2020?
Endelea na imani yako. Nami nasimamia hoja zangu.
Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......
Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........
Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................
Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Sasa mmeona ilivyo ngumu kwenu ukawa kumpiku Magufuli kwenye siasa? Jembe linaendelea kuchapa kazi.Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
wameziba mashimoAsema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
huyo ndiyo mungu wako ndiyo maana wamuita mtukufunilijuaga mtukufu hakoseagi mweee
uteuzi ulikuwa batili kwa vile possi kajiuzulu baada siyo kabla ya uteuzi hivyo sanasana ni kuziba mahandaki wapaswa kuomba msamaha tu hakuna ubabaishaji hapoKutokana na swali la mtoa mada nami naomba niunganishe na hili ''kama umekula ugali kwa dagaa na baada ya dakika 10 ukatapika'' vipi historia itabadilika kuwa hukula eti kwa sababu tu ya kutapika kwako????
Au tukijikumbusha na kujiuliza Dr Posi aliupata vipi ubunge wake tutajibu vipi??
HISTORY NEVER CHANGE
Hivyo vyeo kwani kagombea? Sasa swala la uroho hapo linatoka wapi? Rais ndo anampa hivyo vyeo kwani anayempa hivyo vyeo haoni kwamba anamlimbikizia vyeo vingi mtu mmoja? Halafu kukataa kutii mamlaka ni kosa maana mkuu anaweza kuona kwamba unamdharau, yeye achape kazi usiku na mchana ndo maana ya HAPA KAZI TU.Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Acha usabiki-vitumbua weee! Kuteua wanaume au wanawake ni sensitive? Inahatarisha usalama wa taifa ennhh??? SawaDaaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......
Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........
Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................
Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Domokaya. Domokaya. Hoja imekufa. Ni uwezo wako mdogo wa kuchambua issues au?Kusimamia hoja hakumaanishi hiyo hoja ni ya ukweli au ina nguvu. Kama ungekuwa unajiweza usingesimamia hoja badala yake ungeitetea hoja yako. Unasimamia hoja ambayo imekufa? Ukweli si unaonekana kwa macho au wewe dunia huioni inavyokwenda unasubiri kuambiwa tu. Eti katibaaaaaaa!
Jinsi mlivyo kama viroboto, akijikuna huku unamwa huku,! Hakuna jema kwenu..!! Poor opposition!Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......
Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........
Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................
Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Na ndiye Rais wa Nchi yetu kama hutaki atafuta ukimbizi Nchi yoyote.Hii serikali bwana kila siku ni teuzi nakumbuka mwaka uliopita Mourinho nusu aishushe daraja chelsea kwa sababu hana kikosi maalumu cha first eleven (hakujipanga)
Pamoja na pangua yote hiyo sijaona dalili za viwanda kama kuwa train watu(human capital) wala kufanyia utafiti wa masoko na viwanda vya bidhaa zinazohitajika na ni wapi?
Anatumia tight monetary policy ila inapingana na kanuni cha uchumi inflation iko juu na exchange rate na dolla inazidi kupanda (nina wasiwasi BOT hamna nyakati mbaya ambazo wamepitia kuingilia uhuru wao kama hizi) haiji akilini kwenye nchi changa kama yetu utoe amri ya billions of money zitumike kufanyia kitu fulani ukiwa jukwaani
Conclusion-nchi inaendeshwa sana na utashi wa mtu