Dk. Mwele Ntuli Malecela ametoa somo kubwa kwenye vyombo vya usalama

Maswali ya msingi hapa:
Kuna nayejua huu utafiti ulichukua muda gani!?
Ni nani walishiriki huu utafiti (kukusanya data, data analysis, kuandika report)!?
Je, ni taarifa binafsi ya Ms. Malecele au ni report ya utafiti!?
Tikijua haya tutakuwa na uwanja huru wa kujadiliana bila kuumiza upande wowote au kuingiza mambo ya taarabu!
 
Naamini unaandika out of your ignorance. Dr. Mwele alikuwa ni Director General wa taasisi ya utafiti wa afya zetu. Ndiye msemaji mkuu wa mambo yote ya taasisi. Alilolifanya lipo katika majukumu yake ya kisheria. Muhimu na kama kweli tunatumia akili, tujiulize kanuni ya kumzuia mtafiti kutangaza matokeo ya utafiti alioufanya mpaka matokeo hayo yafanyiwe sensorship na mwanasiasa ambae si mtaalamu wa kile kilichofanyika. Unatukana matusi badala ya kushirikisha akili yako na vidole unavyotumia kuandikia.

Hana jukumu la kutangaza utafiti ambao haujafanyika.

Nnashangaa mtu bogus kama huyo kuwa na cheo kama hicho, itakuwa kuna mkono wa baba'ke si bure.

Ni aheri Magufuli anavyoinyoosha hii nchi, watu watatia akili wakitaka wasitake.

Tazama ufinyu wa Le Mutuz, utanielewa nnaongea nini.
 
Kwangu Dr Mwele atabakia kuwa SHUJAA siku zote.

Report ya utafiti hutolewa na aliefanya utafiti..

Na siku zote tafiti zinazofanywa kuhusisha jamii ni Mali ya Jamii husika.

Report hii Dr Mwele angewapa serikali mpaka sasa ungekuta serikali ipo kimya na haijawaeleza lolote jamii ya Watanzania.

Hata kama taratibu/protocol inasema alipaswa kuwapa wizara utafiti then waziri ndio atangaze hizi ni protocol za KIJINGA na ambazo haziwezi kutusaidia chochote.

Tusiangalie tu maslahi sijui uchumi utashuka.. Sijui watalii hawatakuja..
Those are cheap arguments..

Uhai ni muhimu kuliko watalii waje waambukizwe ZIKA hapa.

Big up Dr Mwele...
Mungu anakwenda kukufungulia mlango mwingine mzuri zaidi na watawala hawa hawa watakukumbuka.

Eti Eyakuze na twaweza yake wakitoa ripoti ya tafiti za kumpamba mtu wa ccm hili halina taabu, lakini Mwele akisoma ripoti yake shurti kwanza ipitiwe na nani sijui! Fallacy!!!!
 
Hili ni zaidi ya somo, kumbe ndani ya serikali mtu anaweza kuibuka nakusoma taarifa amabayo matokeo yake yanaweza kuwa ni janga la taifa. Kiuhalisia hakuna alie juwa Malecela alikuwa kienda kusoma taarifa nzito ambayo uwenda ingweza kwenda kusababisha madhara makubwa kwa taifa.
Hili nijambo la hatari sana na tusikatae vyombo vya usalama vimeona madhara ya watumishi wa seikali kufanya mambo pasipo kutoa taarifa kwa wizara husika.
Ikiwa serikali itaangalia hili jambo kwa jicho la saba unaweza kugunduwa upo udhaifu mkubwa sana ktk utowaji taarifa za serikali, mfano mzuri nikile kitendo cha mh fulani kumchongea mkurugenz mahali ambapo hapakuwa mahali pa kufanya hivyo, pia siku zakaribuni wakurugenz na wakuu wa mikoa wamekuwa na matamko ambayo yanaleta taharuki kwa taifa yote haya ni darasa kwa vyombo vyetu vya usalama.

Nilazima kuanzia sasa kuwe na utaratibu wakuangalia nini nani anasema upo uwezekano mkubwa Mh Ummi alialikwa na Mkurugenz na report alikwenda kuisikiliza protoco kama hizi ni hatari kwa usalama yani waziri anakaribishwa kusikiliza report amabyo hata yeye uwenda hajaiona au kujuwa nini kitasomwa.

TUJIFUNZE KWA MATUKIO KAMWE WATU WACHACHE WASIJE KUTUHUJUMU.
We nawe unatia kinyaa na aibu hata kama kujipendekeza umezid aisee hadi unaboa. Huna logic
 
Mengeleni unatatizo la kufikiri. Chukulia hata ktk familia yako tu, unaumwa mafua tu kidogo. Hujazidiwa. Mtoto kapanda gari hadi ukweni na kusema baba anaumwa na wakwe wanatia timu kwa wingi kuja kukuona. Huyo mtoto utamwonaje? Utampongeza? Hili la ZIKA ni la kimataifa. Inakuwaje eti mkurugenzi anatangaza zika wakati ikulu haijui? Huo ni utovu wa nidhamu. Hivi yeye hakujiuliza kama waziri anajua au hajui wakashauriana namna ya kutangaza? Utafiti ulikuwa wa kiofisi siyo binafsi. Alipaswa arudi ofisini amwambie mwajiri wake kuwa ofisi ya utafiti imeona hicho kitu kisha wangeshauriana hatua za kuchukua. Kuwa Dr. siyo kigezo cha kukurupuka na ajenda. Wapo waliojua kabla yake. TUJIFUNZE KUTAMBUA ITIFAKI KATIKA KILA TUNACHOKIFANYA. USIINGIE OFISI YA MTU NA KUVAMIA KITI KABLA HUJAAMBIWA KARIBU UKAE.
 
Watu wa aina ya Malecela wanaitwa PROFESSIONAL ECONOMIC HITMAN.Hawa hutumia taaluma zao kuubamiza uchumi chini KWA SIRI na kustukiza.Anatoa news alert ya dakika inauulilia mbali uchumi kwa dakika.Matamko yote mazito inabidi yapitiwe na wizara husika na wizara ya ulinzi.

Nashauri hata kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi si vibaya hukumu zikapitiwa na wizara ya sheria na wizara ya ulinzi kabla ya kusomwa
tunatabia yakuto heshimu tafiti,tunapenda zile zakufurahisha,tunasafari ndefu sana.
 
Kwangu Dr Mwele atabakia kuwa SHUJAA siku zote.

Report ya utafiti hutolewa na aliefanya utafiti..

Na siku zote tafiti zinazofanywa kuhusisha jamii ni Mali ya Jamii husika.

Report hii Dr Mwele angewapa serikali mpaka sasa ungekuta serikali ipo kimya na haijawaeleza lolote jamii ya Watanzania.

Hata kama taratibu/protocol inasema alipaswa kuwapa wizara utafiti then waziri ndio atangaze hizi ni protocol za KIJINGA na ambazo haziwezi kutusaidia chochote.

Tusiangalie tu maslahi sijui uchumi utashuka.. Sijui watalii hawatakuja..
Those are cheap arguments..

Uhai ni muhimu kuliko watalii waje waambukizwe ZIKA hapa.

Big up Dr Mwele...
Mungu anakwenda kukufungulia mlango mwingine mzuri zaidi na watawala hawa hawa watakukumbuka.
Big up 100%
Bi mkubwa amefanya kitu sahihi, kama walikua na kitu cha kumpinga basi wangetoa tafiti zao na takwimu zao kuthibitisha kuwa bi mkubwa hayuoo sahii..
 
Mficha maradhi kilio kitamfichua kama virusi vya Zika vipo vipo tu.Jambo la msingi kuelimisha umma namna ya kujikinga.Je na chanjo aliyotamka Naibu waziri ni ya nini?Nchi haitakwenda kokote kwani kila kitu ni siasa tu.Wapiga debe wamejaa humu kushabikia hawana takwimu wala utaalamu.Hapa kuna tatizo.
 
Alipata semina elekezi lakini? akajua jinsi ya kutunza siri za ofisi na nchi kwa ujumla.
Au na yeye ni miongoni mwa waliojipa semina elekezi hukohuko maofisini.
Kama hakupata, tusimlaumu.
amekuwa kwenye tasisi hiyo for more than 24 yrs.. she started as a junior officer mpaka kuwa mkurugenzi mkuu.. naamin alikuwa veted na watu wa usalama. alikengeuka tu, au pengine hakujua madhara ya taarifa ile.
 
Halafu majibu ya WHO ni kwamba hawajapata taarifa. Jibu hili halimaanishi kuwa kilichosemwa hakipo ila tu taarifa haijawafikia kwa njia rasmi. Hii ni sawa na polisi wanaulizwa juu ya ujambazi uliotokea ndani ya dakika mbili, na mkuu wa polisi anasema bado hatujapata hizo taarifa jibu ili alimaanishi ujambazi haujatokea.
 
Mficha maradhi kilio kitamfichua kama virusi vya Zika vipo vipo tu.Jambo la msingi kuelimisha umma namna ya kujikinga.Je na chanjo aliyotamka Naibu waziri ni ya nini?Nchi haitakwenda kokote kwani kila kitu ni siasa tu.Wapiga debe wamejaa humu kushabikia hawana takwimu wala utaalamu.Hapa kuna tatizo.
zika ipo hapa zaidi ya 50 yrs.. it has been categorised as endermic desease... kutangazia dunia kwamba kuna zika kunaleta alert tofauti na adhali za kiuchumi zinaweza kuwa kubwa.

ni kama mabusha na matende.. si yapo tu tunaishi nayo!.. haikuwa sahihi kutangaza vile.
 
Hii ni sawa na kupima ubora wa sumu mpya kwa kutumia binadamu halafu hutaki binadamu afe. Halafu baada ya kuipima binadamu anakufa ndani ya dakika tano, sasa huo si ndio ubora wa sumu mpya na ili kusema ni bora au la si lazima useme matokeo yake. Wakati sumu inayotumika sasa ikiliwa na binadamu anakufa baada ya mwaka au asife kabisa. Sasa mwingine anapinga matokeo ya sumu mpya ilionesha ubora kwa mujibu wa matokeo yake kwa kutumia kipimo cha sasa.
 
amekuwa kwenye tasisi hiyo for more than 24 yrs.. she started as a junior officer mpaka kuwa mkurugenzi mkuu.. naamin alikuwa veted na watu wa usalama. alikengeuka tu, au pengine hakujua madhara ya taarifa ile.
Sawa, wengine wajifunze katika hili. Ifike mahala tuchape kazi, hizi story za kutumbuliwa zinatupunguzia thamani katika ajira za kimataifa, inajengeka picha kuwa watanzania ni watu wa hovyo kwenye utendaji kazi.
 
zika ipo hapa zaidi ya 50 yrs.. it has been categorised as endermic desease... kutangazia dunia kwamba kuna zika kunaleta alert tofauti na adhali za kiuchumi zinaweza kuwa kubwa.

ni kama mabusha na matende.. si yapo tu tunaishi nayo!.. haikuwa sahihi kutangaza vile.

Ukipewa kipimo kipya kuyapima hayo matende na manazi na maboga ili kuangalia ubora wake, utatangazaje matokeo ya ubora wa kipimo hicho kipya?
 
zika ipo hapa zaidi ya 50 yrs.. it has been categorised as endermic desease... kutangazia dunia kwamba kuna zika kunaleta alert tofauti na adhali za kiuchumi zinaweza kuwa kubwa.

ni kama mabusha na matende.. si yapo tu tunaishi nayo!.. haikuwa sahihi kutangaza vile.
Uko sahihi,impact ya tangazo kama lile kwenye uchumi wa nchi ni kubwa kuliko wengi wanavyofikiria.
 
Watu wa aina ya Malecela wanaitwa PROFESSIONAL ECONOMIC HITMAN.Hawa hutumia taaluma zao kuubamiza uchumi chini KWA SIRI na kustukiza.Anatoa news alert ya dakika inauulilia mbali uchumi kwa dakika.Matamko yote mazito inabidi yapitiwe na wizara husika na wizara ya ulinzi.

Nashauri hata kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi si vibaya hukumu zikapitiwa na wizara ya sheria na wizara ya ulinzi kabla ya kusomwa
Mbona alipotoa utafiti wa ugonjwa na matende na mabusha hamkutahaluki hivi.
Kwangu Dr Mwele atabakia kuwa SHUJAA siku zote.

Report ya utafiti hutolewa na aliefanya utafiti..

Na siku zote tafiti zinazofanywa kuhusisha jamii ni Mali ya Jamii husika.

Report hii Dr Mwele angewapa serikali mpaka sasa ungekuta serikali ipo kimya na haijawaeleza lolote jamii ya Watanzania.

Hata kama taratibu/protocol inasema alipaswa kuwapa wizara utafiti then waziri ndio atangaze hizi ni protocol za KIJINGA na ambazo haziwezi kutusaidia chochote.

Tusiangalie tu maslahi sijui uchumi utashuka.. Sijui watalii hawatakuja..
Those are cheap arguments..

Uhai ni muhimu kuliko watalii waje waambukizwe ZIKA hapa.

Big up Dr Mwele...
Mungu anakwenda kukufungulia mlango mwingine mzuri zaidi na watawala hawa hawa watakukumbuka.
 
Hili ni zaidi ya somo, kumbe ndani ya serikali mtu anaweza kuibuka nakusoma taarifa amabayo matokeo yake yanaweza kuwa ni janga la taifa. Kiuhalisia hakuna alie juwa Malecela alikuwa kienda kusoma taarifa nzito ambayo uwenda ingweza kwenda kusababisha madhara makubwa kwa taifa.
Hili nijambo la hatari sana na tusikatae vyombo vya usalama vimeona madhara ya watumishi wa seikali kufanya mambo pasipo kutoa taarifa kwa wizara husika.
Ikiwa serikali itaangalia hili jambo kwa jicho la saba unaweza kugunduwa upo udhaifu mkubwa sana ktk utowaji taarifa za serikali, mfano mzuri nikile kitendo cha mh fulani kumchongea mkurugenz mahali ambapo hapakuwa mahali pa kufanya hivyo, pia siku zakaribuni wakurugenz na wakuu wa mikoa wamekuwa na matamko ambayo yanaleta taharuki kwa taifa yote haya ni darasa kwa vyombo vyetu vya usalama.

Nilazima kuanzia sasa kuwe na utaratibu wakuangalia nini nani anasema upo uwezekano mkubwa Mh Ummi alialikwa na Mkurugenz na report alikwenda kuisikiliza protoco kama hizi ni hatari kwa usalama yani waziri anakaribishwa kusikiliza report amabyo hata yeye uwenda hajaiona au kujuwa nini kitasomwa.

TUJIFUNZE KWA MATUKIO KAMWE WATU WACHACHE WASIJE KUTUHUJUMU.
Taarifa za kitafiti si za kisiasa
 
Back
Top Bottom