Dk Mary Nagu ashikiliwa kwa muda polisi

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Nawaletea mchanachotaka. Dk Mary Nagu ashikiliwa kwa muda polisi

mary+nagu+pic.jpg

Arusha. Mbunge wa Hanang (CCM), Dk Mary Nagu ameshikiliwa kwa muda polisi baada ya kutokea vurugu katika kikao cha kamati ya siasa ya chama hicho.

Dk Nagu aliyewahi kuwa waziri katika wizara kadhaa wakati wa utawala wa Serikali za awamu mbili zilizopita, alishikiliwa kwa muda leo, Julai 18 na kuachiwa baada ya kuhojiwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Francis Masawe amesema Dk Nagu alifikishwa kituoni kutokana na vurugu zilizoibuka kwenye kikao cha kamati ya siasa ya CCM Wilaya ya Hanang baada ya makundi mawili kujitokeza.

Masawe amesema baada ya mahojiano kufanyika na kuandika maelezo, kwa kuwa mgogoro huo ulikuwa ni mambo ya ndani ya CCM walimwachia.

"Taarifa ambazo nimepata ameachiwa baada ya kuandika maelezo na tayari walifikia makubaliano wenyewe," amesema.

Awali, mkuu wa wilaya hiyo, ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya, Sara Msafiri amesema: "Ni kweli amekamatwa lakini nipo kwenye kikao siwezi kuzungumza.”

Habari kutoka ndani ya kikao hicho, zimeeleza Dk Nagu alikamatwa kutokana na malumbano ya kupitisha wagombea wa uchaguzi ndani ya CCM.
 
Angekuwa Chadema angewekwa masaa 48, alaf jumatatu aachiwe kwa sababu alikamatwa kimakosa...

BTW kwani siasa si zimezuiwa?
Au mlipata vibali kama babu mihogo alivyokuwa aanashangilia juzi...

Acheni ujinga.. Hii nchi ni yetu sote...
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kuna baadhi ya watu huwa hatujui tarehe zetu za kuzaliwa na sio tarehetu baadhi hata miaka yetu hatuhifahamu kabisa siyo kwamba tulizaliwa zaman sana hapana wengine tumezaliwa miaka ya 80 na 90

Kwanini hatujui tarehe zetu kila mtu na sababu zake na ataweka hapa

Lakin mimi sababu yangu ni moja tu mama yangu alinitoka nikiwa bado mdogo sana hivyo nimelelewa na shangaz zangu na kila shangaz yangu nikimuuliza hunambia mwaka wake tofaut kabisa lakin husema ni 92au93 hivyo mimi niliamua kujichagulia tarehe yangu ninayouipenda na nikajichagulia mwaka wangu wa 92

Lakin ukwel ndo huo kuwa mimi sijui mwaka wangu wa kuzaliwa lakin ni kati ya 92na 93 hiyo ni kwa maelezo ya shangaz zangu

Nawe waweza weka sababu yako kwanini hujui tarehe yako ya kuzaliwa

Nawasilisha

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app

Angekuwa Chadema angewekwa masaa 48, alaf jumatatu aachiwe kwa sababu alikamatwa kimakosa...

BTW kwani siasa si zimezuiwa?
Au mlipata vibali kama babu mihogo alivyokuwa aanashangilia juzi...

Acheni ujinga.. Hii nchi ni yetu sote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaletea mchanachotaka. Dk Mary Nagu ashikiliwa kwa muda polisi

mary+nagu+pic.jpg

Arusha. Mbunge wa Hanang (CCM), Dk Mary Nagu ameshikiliwa kwa muda polisi baada ya kutokea vurugu katika kikao cha kamati ya siasa ya chama hicho.

Dk Nagu aliyewahi kuwa waziri katika wizara kadhaa wakati wa utawala wa Serikali za awamu mbili zilizopita, alishikiliwa kwa muda leo, Julai 18 na kuachiwa baada ya kuhojiwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Francis Masawe amesema Dk Nagu alifikishwa kituoni kutokana na vurugu zilizoibuka kwenye kikao cha kamati ya siasa ya CCM Wilaya ya Hanang baada ya makundi mawili kujitokeza.

Masawe amesema baada ya mahojiano kufanyika na kuandika maelezo, kwa kuwa mgogoro huo ulikuwa ni mambo ya ndani ya CCM walimwachia.

"Taarifa ambazo nimepata ameachiwa baada ya kuandika maelezo na tayari walifikia makubaliano wenyewe," amesema.

Awali, mkuu wa wilaya hiyo, ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya, Sara Msafiri amesema: "Ni kweli amekamatwa lakini nipo kwenye kikao siwezi kuzungumza.”

Habari kutoka ndani ya kikao hicho, zimeeleza Dk Nagu alikamatwa kutokana na malumbano ya kupitisha wagombea wa uchaguzi ndani ya CCM.
Sawa

Kiwanda hicho, kimeongezeka. Speed ni nzuri ya kujenga viwanda. Hongera Arusha
 
Haya kakojoe ulale.

Nimeamini kweli Lissu ni noma, makada wamemwagika kujibu hoja lakini bado kuna hoja wanaona hata aibu kuzijibu. Wewe naona imebidi utoke kivyako kutaka kuonyesha hata ccm eti nao wanakamatwa. Hivi mtu akamatwe kisha aji selfie? Lisu piga baba hapo hapo si ajabu kesho tukaona Lukuvi akikamatwa na polisi kwa kujihusisha na migogoro ya ardhi bila ruhusa ya DC. Hizi tunaita ni hoja za kujistukia.
 
Huyu mama MTU Wa fitna sana alikuwa anahonga ili watu wake wapitishwe kwenye uongozi, ili baadae 2020 awatumie kumpitisha kwenye ubunge,
Wenzake wakamshtukia wakamwambia ukweli yeye akajifanya kuleta Fujo kubwa sana,
Kwa kuwa ni kada na nilikuwa kikao cha ndani cha makada wameamua kutokuwekana ndani kwa muda mrefu.
Ila huyu mama anagawa sana njulungu
 
Nimeamini kweli Lissu ni noma, makada wamemwagika kujibu hoja lakini bado kuna hoja wanaona hata aibu kuzijibu. Wewe naona imebidi utoke kivyako kutaka kuonyesha hata ccm eti nao wanakamatwa. Hivi mtu akamatwe kisha aji selfie? Lisu piga baba hapo hapo si ajabu kesho tukaona Lukuvi akikamatwa na polisi kwa kujihusisha na migogoro ya ardhi bila ruhusa ya DC. Hizi tunaita ni hoja za kujistukia.
CCM kwa maigizo wameona waanze kubalance mambo mapema.
 
Back
Top Bottom