Hapo ndipo wanapotudanganya.....
Zito ajiunge vipi wakati yeye ndie muhasisi wa ACT?
Na ukiongea offline na yeye mwenyewe anakili hilo, na hata kitila nae anakili hilo mkikutana, hawa jamaa wanamfichaficha kuna kitu wakiogopa
Yaani Uenyekiti unatangulia kabla ya ajenda?
kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu eti tumeunda chama kingine ili kishindane na cdm wakati siku hizi cdm hatuwawezi na tunawatuma vijana wa lumumba wawe wapambe wa alliance for coward kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu
Why is it a drama? Zitto kugombea uenyekiti ni issue?
Huwezi kuendesha mapambano ukiwa na wahuni, wanafiki, wasakatonge na wajinga kama Zitto, Kitila na Mwigamba. Wahuni hao kutimuliwa ni uamuzi wa busara kuliko uamuzi wowote uliowahi kufanywa na CDM
kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu eti tumeunda chama kingine ili kishindane na cdm wakati siku hizi cdm hatuwawezi na tunawatuma vijana wa lumumba wawe wapambe wa alliance for coward kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu
Jamani ngoja waje kwa wananchi tuwapime, ni mapema Sana kuwaita ALLIANCE FOR COWARDS AND THIEVES (ACT)
Hivi hawa ACT wameshindwa kupata jina la kiswahili. Kama CCM, CHADEMA, CHAUSTA? Haya makiingereza mpaka lini? Maana tumechoka sasa.
Watz tuangalie hawa wasaka maslahi kupitia vyama vya siasa.TUWAKATAE MAPEMA
Unajua kaka hii ni ACT-Tanzania yaani haka ni ka-branch chetu tu hapa TZ makao makuu yetu yapo New Zealand, mambo ya Ulaya ulaya huko kwa wazungu, mambo matamtam, mambo mazuri.
ACT-New Zealand tuko imara sasa tumewaletea ACT-Tanzania lengo letu KUBWA ni kupambana na Chadema TU.
Wanaisumbua sana CCM, jasho linawatoka hawapumui sasa sisi tumekuja kuokoa jahazi la CCM.
Allience for cowards and traitors
Huyu Kiltila inakuwaje akaendelea kuwa mtumishi wa umma huku akishikilia nyazifa za juu katika vyama vya siasa na Serikali inatazama tu! Hapa LAZIMA kuna mbinu chafu za serikali zinazoenedelea.