Elections 2010 Dk. Batilda atolewa uvivu na akina mama-arusha

Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
583
287
Jamani, Huyu Mama atakufa kwa Pressure!!!!!!!!!

Juzi Dk. Batilda alivamia bila kualikwa katika mkutano wa Arusha Women SACCOS uliokuwa unafanyika pale Metropole na kuanza kujidai kuchangia mada. Katika hali iliyoonyesha kukerwa na hali hiyo akina mama walimpuuza na kumzodoa na kumtaka aache kuingilia mambo yasiyomhusu kwani yeye hakuwa mwanachama na hakua amealikwa katika mkutano huo.

Katika hali ya kushtusha akina mama hao walimpigia simu mgombea wa ubunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema kufika eneo hilo. Ghafla Lema alitia timu ukumbini hapo na ukumbi ukalipuka kwa vigelegele na nderemo huku Dk. Batilda akishuhudia live kwa aibu kama mtu aliyeshikwa Uchawi night.

Habari nyingine kutoka soko kuu la Arusha zinasema Batilda anapita meza kwa meza huku akifuatana na mama yake mzazi katika kumwombea kura kwa watu ambao walishamkana na kumpiga na matango na nyanya siku za nyuma.

USHAURI: DAKTARI KUBALI TU KUWA HILI GAME NI GUMU LIMEKUSHINDA NA LIMESHA KUKATAA. CHA KUFANYA NI KUENDELEA KUHUDHURIA CLINIC ILI USIPATE HASARA MARA MBILI; HASARA YA KIUMBE ULIYE NAYE NA HASARA YA KUSHINDWA UBUNGE:israel:
 
Ha ha haaaa!
Hii ni kali sana, na nakiri kwamba nilikuwa sijaipata!
Umbali uliopo kwenye uwezekano wa kushinda kwa Batilda ni kama wa Mbingu na Ardhi!
 
tulizungumza na tutaendelea kusema, mziki huu mkubwa kwake hata weza, asubiri kugombea uenyekiti wa mtaani kwao.
 
....... CHA KUFANYA NI KUENDELEA KUHUDHURIA CLINIC ILI USIPATE HASARA MARA MBILI; HASARA YA KIUMBE ULIYE NAYE NA HASARA YA KUSHINDWA UBUNGE[/I]:israel:

Mhhhh, kumbe mgombea ni mjamzito? Namuonea huruma na hii mikikimikiki ya kampeni. Apewe ushauri nasaha, ajitoe ugombea ili kulinda haki za mtoto kama zilivyoazimiwa kimataifa na kukubaliwa na serikali halafu na apumzike asubiri kujifungua tu.
 
Hivi udaktari wake ni wa nini vile?
Maana kama angekuwa PHD wa kweli angefanya kama mwenzake Kigwngwala wa Nzega, yeye hata kampeni hapigi, maana ameona hatakiwi!
 
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinasema juzi aliangua kilio baada ya kupitishwa katika mkutano wa Mbowe pale NMC na kuona umati ulivyo, alikua kwenye gari Jeusi, waliekua nae ndio anasambaza hizi news
 
Jamani, Huyu Mama atakufa kwa Pressure!!!!!!!!!

Juzi Dk. Batilda alivamia bila kualikwa katika mkutano wa Arusha Women SACCOS uliokuwa unafanyika pale Metropole na kuanza kujidai kuchangia mada. Katika hali iliyoonyesha kukerwa na hali hiyo akina mama walimpuuza na kumzodoa na kumtaka aache kuingilia mambo yasiyomhusu kwani yeye hakuwa mwanachama na hakua amealikwa katika mkutano huo.

Katika hali ya kushtusha akina mama hao walimpigia simu mgombea wa ubunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema kufika eneo hilo. Ghafla Lema alitia timu ukumbini hapo na ukumbi ukalipuka kwa vigelegele na nderemo huku Dk. Batilda akishuhudia live kwa aibu kama mtu aliyeshikwa Uchawi night.

Habari nyingine kutoka soko kuu la Arusha zinasema Batilda anapita meza kwa meza huku akifuatana na mama yake mzazi katika kumwombea kura kwa watu ambao walishamkana na kumpiga na matango na nyanya siku za nyuma.

USHAURI: DAKTARI KUBALI TU KUWA HILI GAME NI GUMU LIMEKUSHINDA NA LIMESHA KUKATAA. CHA KUFANYA NI KUENDELEA KUHUDHURIA CLINIC ILI USIPATE HASARA MARA MBILI; HASARA YA KIUMBE ULIYE NAYE NA HASARA YA KUSHINDWA UBUNGE:israel:

Sasa anataka ubunge na mtoto at the same time?? Hii kali kweli, yaani baada ya ubunge Maternity leave!! Wenzao majuu huwa wanamalizana na mambo ya familia kwanza kabla ya siasa. Sasa hapa mambo mwendo mdundo tu..............!!!! Si kuna mahali kuna mtu alisema kuwa mme hana tena?? Imekuwaje??
 
... anyway... sisi tunahitaji mabadiliko ... tumechoka na hizo parking system ya kulipia kila kukicha kujaza matumbo yao ...
 
Da kunguka kwa huyu mama ni pigo kwa EDO 2015!!!!! hivi bado yuko kenye kampeni au ameshajiondoa? Sijamsikia kabisa!!! Nataka sote tuelewe kwamba wazee wa Arusha wana msimamo mno, usijaribu ku-temper nao. Na ccm isipoangalia vizuri jimbo la Arusha mjini hawatakaa walikomboe tena, litakuwa kama la Moshi mjini.
 
USHAURI: DAKTARI KUBALI TU KUWA HILI GAME NI GUMU LIMEKUSHINDA NA LIMESHA KUKATAA. CHA KUFANYA NI KUENDELEA KUHUDHURIA CLINIC ILI USIPATE HASARA MARA MBILI; HASARA YA KIUMBE ULIYE NAYE NA HASARA YA KUSHINDWA UBUNGE:israel:

Kama kiumbe kweli kipo tumboni au ni geresha zake za uchaguzi tu..................
 
Jamani, Huyu Mama atakufa kwa Pressure!!!!!!!!!

Juzi Dk. Batilda alivamia bila kualikwa katika mkutano wa Arusha Women SACCOS uliokuwa unafanyika pale Metropole na kuanza kujidai kuchangia mada. Katika hali iliyoonyesha kukerwa na hali hiyo akina mama walimpuuza na kumzodoa na kumtaka aache kuingilia mambo yasiyomhusu kwani yeye hakuwa mwanachama na hakua amealikwa katika mkutano huo.

Katika hali ya kushtusha akina mama hao walimpigia simu mgombea wa ubunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema kufika eneo hilo. Ghafla Lema alitia timu ukumbini hapo na ukumbi ukalipuka kwa vigelegele na nderemo huku Dk. Batilda akishuhudia live kwa aibu kama mtu aliyeshikwa Uchawi night.

Habari nyingine kutoka soko kuu la Arusha zinasema Batilda anapita meza kwa meza huku akifuatana na mama yake mzazi katika kumwombea kura kwa watu ambao walishamkana na kumpiga na matango na nyanya siku za nyuma.

USHAURI: DAKTARI KUBALI TU KUWA HILI GAME NI GUMU LIMEKUSHINDA NA LIMESHA KUKATAA. CHA KUFANYA NI KUENDELEA KUHUDHURIA CLINIC ILI USIPATE HASARA MARA MBILI; HASARA YA KIUMBE ULIYE NAYE NA HASARA YA KUSHINDWA UBUNGE:israel:
Pamoja na yote hayo nina uhakika huyu mama atashinda. Nipo hapa Arusha nafuatilia kwa karibu sana. Naomba msichukuie sana
 
Ndugu yangu, naona yule mwana JF "Malaria Sugu" kesha kuambukiza ubishi wake!!!. Hata hivyo, "Inawezekana kila mmoja atimize wajibu wake - Mwl Nyerere, 1969"
 
Naungana na mwalimu kuwa anaegombea kwenda Bungeni kwa mbinu za kila aina aogopwe kama Ukoma
 
DR Buriani ana mume, ni kingunge mmoja zanzibar, nilitambulishwa siku moja na Mh fulani pale Zanzibar airport, alikuwa anamsindikiza Dr kurudi dar (nadhani ni DPP wa huko ZnZ..) i
 
Back
Top Bottom