Dk 10 zatosha..???

Dk 10 zatosha..???

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,974
Wadau MMU, Naomba kuuliza kwa wale walio deep.. Nimekuwa nikishi hotelini kwa muda mrefu sasa,katika jiji la Arusha.Nimeshuhudia watu wengi wakiingia mke na mme na kukodi chumba kwa muda mfupi sana, yamkini hazizidi hata Dk 10,huwa nawaona wanatoka.Nikawauliza wahudumu mbona hawa watu wanatoka haraka hivyo,wakanijibu sijui wenyewe ila sisi tayari tumepokea pesa yetu ya pango la chumba,kwa hiyo ni hiyari yao kukaa sana/kulala au kutoka mapema.Nikajiuliza tena au ni mke na mume wa mtu.?? Au wana haraka kuna sehemu wanakwenda.?? Au wameshindwa kuelewana..?? Au mke amelipwa malipo ya bao moja tu..?? Au mwanaume hawezi kupiga bao zaidi ya moja.?? Au Mke hana mvuto ndo maana Mme kaamua kuondoka haraka.?? Naomba mnisadie kujibu na kunielewesha hilo jambo tafadhali..!!@!
 
Kimoja cha fasta kwa ajili ya kupasha misuli na damu ndio staili zake
 
sasa hivi we si upo hapo angalia wakiingia chukua chelewa kale konoli utajua kila kitu,uje utuhadithie hapa
 
Kwa nini usisubiri wakotoka ukawauliza? Ukipata majibu kutoka kwao yatakua sahihi zaidi
 
Wanawake wenyewe hawaaminiki. Ukifumaniwaje?. sisi huku vijijini tunatumia hizo dakika 10 kichakani. Unaangalia nyuma mbele kushoto kulia ukiona salama unaingia kichakani. Dakika kadhaa ushatoka. Huko mjini ndo mnaingia mahotelini. Mia
 
zatosha kama airtel...si unajua siku hizi ukilala 2 kisdogo lazima ukatwe ndio hivyo....
 
tukuulize wewe maana ndio huwa una waona na ni raisi kwako kuwauliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom