Dk 10 zatosha..???

Dk 10 zatosha..???

umejuaje ni "mke na mume??"
Sina hakika ya uhusiano wako kama ni kweli mke na mume, namaanisha ni jinsi KE na ME..!@! Laiti ingekuwa kweli ni mume na mke halali,huwezi piga gemu kwa Dk 10 tu na kutoka kama kweli ni mke au mume wako halali..Ile kitu(papuchi/mgegedo) tamu ikiwa una uhakika nayo..!@!
 
Kujali muda ndo mpango mzima kwanza hata ukifanya kwa masaa kumi still hamna kutosheka na kesho utahitaji...time is money kaka
 
Kwa nini usisubiri wakotoka ukawauliza? Ukipata majibu kutoka kwao yatakua sahihi zaidi
Hivi inawezekanaje nikawasimamisha watu nisio wajua huku wametoka kwenye game la faster na nianze kuwa uliza kama hizo Dk 10 zimetosha kwa game lao..?? Si wanaweza jua labda ni paparazi..? Nawauliza wadau MMU kwa kuwa naamini mko ktk wakati mzuri/free kuweza kueleza hisia zenu especially kwa wale ambao hutumia Dk 10 kwenye 6x6..!@!
 
Sasa hii umeuliza coZ unahisi humu kuna watu ni wahusika wa hicho kitu au wauliZa kwa kuzunguka ukimaanisha wewe uwezo wako si ZAIDI YA DAKIKA KUMI wataka kujua kama ni hali ya kawaida kwa wanaume wenZio ama la! ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom