DJ - Murphy: Mtasfiri wa movie

DJ - Murphy: Mtasfiri wa movie

Yani mimi movie ikishatafsiriwa basi ni ticket ya kutoitazama maana hawa watu uwa wanaharibu maana nzima ya storyline waongo waongo.
Unless iwe imewekewa sauti mfano kama tamthlia za kifilipino wanavyo weka sauti za kingereza unaweza fikiria anayeongea anaongea kingerezan
Ninaye mkubali ni DJ MACK aka KIDUME wangine wanaiga tu
 
Dj mark ni mwisho wa matatizo,tatzo la huyu muphy huwa anaondoa sub title pia muongo sna
 
Murphy ni mzuri kwa kuchangamsha Series ila bado hana uzoefu mzuri na lugha ya wanafiki mashosti kina Cameron.., Kwenye idara hii namuelewa sana Dj Marc Kuku-Ngwendo Wa Zabanda A.k.a Jogoo Huyu Namuelewa Hadi Basi... Wanakujaaaaaa. Atcheche Atcheche
Huyu jamaa anajua mpaka anaboa
 
Sina lengo la kuharibu biashara yako au kukuanika lengo langu ni kukupa pongezi kwa ujasiria mali unaoufanya .
Hakika unauza saana CD za zilizozitafsiri kwa Lugha ya kiswahili na sasa unaonekana kujikita zaidi kwnye movie za kikorea zinazoendelea kupata kasi ya wapenzinchi,umesaidia wengi kuingia kwnye hiyo Entertement.Japo mm si mdau kabisa wa hizo movie lakini naomba kujua haya na kukukushauri pia .

1.Je una kibali cha kazi unayofanya au unafanya kwa ujanja ujanja ? (Kama hauna ni vyema kufanya utaratibu sasa kwani Unavutia wengi kwa kazi zako ,Pia utatengeneza Ajira kwa vijana wengi ).
2. Kwa sauti nzuri uliyonayo Je unaweza kuapatikana katika shuguli za MC na utengenezaji wa matangazo . ?

Katika kukuuliza nimesikia ni kijana uliyefanikiwa sana,binafsi nadhani ukifanya kazi zako katika wigo mpana utasaidia wengi .

Kwa wanamjua DJ Murphy mnauwanja huru wa kuchangia jambo
Hongera saana DJ Murphy .[/QUOT Hongera sana na Mungu azidi kukipa kipawa na akulindie kipaji hicho alichokupa
 
Wameanza kuzingua hawa jamaa, episode 1 wanatoa episode 4
 
Back
Top Bottom