DJ - Murphy: Mtasfiri wa movie

DJ - Murphy: Mtasfiri wa movie

Mimi zilizo tafsiliwa nakosa raha ya movie..naona anawajaza maneno vile vile hii INA zolotesha kujua kujifunza lugha za wenzetu
 
huyo na wale wazamini wake wa simu na laptop matapeli wanaweka vitu bei rahisi ukifika dukani kwao ndo utasema unaingiza mzigo bandarini hio bei wanayokwambia
 
Hizi movie zilizo editiwa sauti(tafsiriwa??) huwa sizipendi sana! Kuna siku nimeenda kumsalimu mama mzazi,sasa nikakuta yupo na wajukuu zake wanaangalia Escape from sobibor iliyotafsiriwa na mhuni mmoja wa kenya! Yaani nilichoka! Maana hizo "gumaanyoko gumanina" na "weka Mugundu yako hapa"zilitufanya tukose amani kabisa.
Haha ao wakikenya sio waambie watafute zakibongo ayo mambo hayapo.
 
Dj Murphy na crew yake nzima wanachokifanya ni uharamia wa kazi za watu wengine, hata kama ni kazi za Wakorea au Wachina sheria za kimataifa haziruhusu mtu ku-modify kazi ya mtu kwa ajili ya kujiingizia kipato ..
 
Hapa wahusika usikute nao wamechangia hii thread. JF ni shida. Mtu na mkewe wanatukanana bila kujuana hapa JF!
 
Hizi movie zilizo editiwa sauti(tafsiriwa??) huwa sizipendi sana! Kuna siku nimeenda kumsalimu mama mzazi,sasa nikakuta yupo na wajukuu zake wanaangalia Escape from sobibor iliyotafsiriwa na mhuni mmoja wa kenya! Yaani nilichoka! Maana hizo "gumaanyoko gumanina" na "weka Mugundu yako hapa"zilitufanya tukose amani kabisa.
 
Anayetafsiri ile Merlin yuko vizuri. Ana kipaji kikubwa sema anaonekana lugha inamsumbua
 
Murphy ni mzuri kwa kuchangamsha Series ila bado hana uzoefu mzuri na lugha ya wanafiki mashosti kina Cameron.., Kwenye idara hii namuelewa sana Dj Marc Kuku-Ngwendo Wa Zabanda A.k.a Jogoo Huyu Namuelewa Hadi Basi... Wanakujaaaaaa. Atcheche Atcheche
Hivi huyu dj mack unaweza kumpata youtube? Maana hakuna dj ninaemuelewa kama huyu angalia movie ya BKO.
 
Hizi muvies zilizo tafsiliwa uwaga si angali vp wazee amnao angali vp ziko poah nianze kuzitafuta
 
Hizi movie zilizo editiwa sauti(tafsiriwa??) huwa sizipendi sana! Kuna siku nimeenda kumsalimu mama mzazi,sasa nikakuta yupo na wajukuu zake wanaangalia Escape from sobibor iliyotafsiriwa na mhuni mmoja wa kenya! Yaani nilichoka! Maana hizo "gumaanyoko gumanina" na "weka Mugundu yako hapa"zilitufanya tukose amani kabisa.
Hahahaaaaa
 
Hivi captain mkandala a.k.a lufufu hajawahi kuweka movies alizotafasili hata youtube jaman..? Nimemiss sana sound zake
 
Back
Top Bottom