Dizasta Vina a.k.a Maradona

Dizasta Vina a.k.a Maradona

View attachment 2476794
Top Searched Artist No.10

“Mwanza na Dodoma Zinasikika singo napo-dribble mtaani wananiita black Maradona.

I am ready I was ready I've born ready men/

Choose beautiful start or choose scary end/

Ka' ulisikia mi sifai hii ni evidence/
Kibaha maili noja mi' ni eight miles Eminem”
Vizazi Havifanani

Kila Generation Ina muda na wakati wake, kuna Generation inasema tunataka tucheze, tuelimike na tuweke kumbukumbu, alafu kuna Generation inasema acha tuelimike na tuweke kumbukumbu na kuna Generation inasema acha tucheze tu hakuna haja ya kuelimika na kuweka kumbukumbu alafu kuna Generation inasema acha tucheze na tuweke kumbukumbu, je! wewe upo Generation ipi? au acha niishie hapo km haujaelewa haujaelewa tu usilazimishe kichwa chako kuhifadhi usivyoviweza utapasuka,
 
Da mwamba Sina la kuongeza ndo maana nikasema baada ya Tamaduni hamna Tena wengine... Sema boshoo sizani Kama n mmoja wa Tamaduni labda Kama amekuja baadae maana enzi zile za kina getto ambassador... Boshoo sijui Kama Alikua kamaliza shule...
All in all umetisha Sana Fid wa sumu kurudi chini Alikua mnyama Sana sema hizi kina freshi Ni za kujitafutia tu mafao Ni Kama CR 7 kule saudia...

Yap duniani hakufai ndo maana ukizaliwa tu unalia....
Hii ndo ngoma ya Songa nayoipenda zaidi akiwa na Dado Hisia za moyoni......
Tamaduni walikuwa na kawaida ya kufanya matamasha kila mkoa kusaka watu wenye vipaji vya kuimba na kisha kuwaendeleza

Ukanda wa kusini kulikuwa na wasanii watatu kama sikosei na mmoja wapo kati ya hao ni Dizasta

Kule mwanza kulikuwa na Ghetto na baadhi ya wengine ila navyojua boshoo amekuja rasmi kimuziki 2014

Pale Tamaduni kuna wasanii wengi sana yani wanaojulikana ni baadhi tu kuna hadi wakenya pale waliwahi kuja kujifunza mziki wa Tamaduni.

Wasanii wengi wa Hip Hop ambao ni chipukizi wamekuwa inspired sana na Tamaduni kuanzia bongo hadi mipakani

Kuna kipindi Khaligraph aliwahi muomba Nikki amfundishe kuchana
 
Asanteni wachangiaji nami kwenye "Mtazamo" kuna jambo nataka weka
maana kila kukicha Emcs wanaongezeka

Maoni yangu "wakali" wa Hip Hop Zamani, Kati, Sasa na Katuni.

Kizazi Zamani÷
1. Prof Jay na HBC
2. SUGU
3. Jay Moe
4. Afande
5. Wateule Wote
6. Fanani na Adili
7. Ngwair
8.
9.
10. AY, FA na GK

Kizazi cha Kati
1. Fid Q
2. Joh Makini
3. JCB na Watengwa
4. Chid Benz
5. Nako 2 Nako
6. Roho 7 na Babuu
7. Mabovuu
8.
9.
10. Soggy Doggy

Kizazi Katili
1. One the Incredible
2. Nick Mbishi
3. P the Mc na Young Killer
4. Songa na Wakazi
5. Nash Mc
6. Roma, Stamina, Darasa
7.
8.
9. Gheto,Disasta,Azma, Zaidi, Blue Bablon
10. Rosa Ree, Frida Amani, Conboi

Rap Katuni
1. Boshoo
2. Country Boy na Young Lunya
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10. Nacha

Nilipoacha nafasi bado natafakari. Ila ambaye hajatajwa bado akaze buti

Huu ni mtizamo wangu masela msijenge chuki!
 
Ni kweli P.mawenge ni mada ya siku nyingne

Katika list yako hawa new generation product ya tamaduni bahati nzuuri nmefatilia wote from the scratch

Wote wana aina yao tofauti ya uchanajibna uandishi

Mfano Kadgo na boshoo naweza sema ndo wakali wa freestyle kwa sasa yaani man to man madogo wako vizuri

Lakini the black maradona anabaki kuwa Lyricist bora!
Halafu Kadgo Wala si new generation ya kina boshoo Ni wa kitambo sema Hana nyota tu ya kujulikana..
Rejea ngoma ya JANA NA LEO ya Young killer Kuna mstari anasema huko mwanza ukinimtoa FID, KADGO ndo rapa best... Hii ngoma ilitoka miaka ya 2014 it means jamaa n mkongwe...
Halafu upande wa freestyle boshoo na Kadgo bado Sana sizani Kama wanaweza bato na wanyama Kama toxic, Stan rhymes, black mc au mnyma Cado kitengo wataibika
 
Haustaili kugusa mavuzi yangu (sorry)/
Uko idle na unanidiss come down/
Ukilala gemu itaku-jig-jig ng'au-ng'au/
Meeeen hao machizi wa siku hizi jau-jau/

Mi nna portfolio nyingi imara tu/
Ningejari jinsi unavyonidiss but my hands are full/
Unafahamu tatizo niki-write verses/

Be careful what you saying nigga you blood fool/
Unashangaza all the stream ukacheck me/
Unachagua nyimbo coz unataka drama/

Nishadiss hadi kanisa langu MSENGE haukumbuki?/
Unataka niue mende kwa bunduki?/

Rafiki yangu aliniambia nyimbo zangu mbovu/
Sauti yangu chovu
/

Disasta Vina - Best Friend
 
Rafiki yangu alinambia nyimbo zangu mbovu/
Sauti yangu chovu

Ndugu yangu wa Damu/
Alinambia vision yangu pofu/
Na bado tunaongea/
So unani-mind kisa like Bob?
 
Best friend sio diss kwa rapcha ila ngoma ni shule kwa rapcha na ajifunze,pale hans cha kujibu maana jamaa kamaliza,na pale dizasta anakwambia sio diss ni clarification,asa akimdiss sijui itakuaje
Mdg wetu alikuwa anafundishwa maisha
 
Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera
Inawaumiza napopiga hela
Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo
Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends

Wapo wavivu wapatwe na dhiki
Wako hoi hawatoboi hata uwape matrick
Ni marafiki na wanaita wanawake ma-bitch
Utadhani hawatapa mabinti
And we are best friends
Wapo waliooga maji yangu
Niliondoka wakamtongoza manzi yangu
Na bado naishi nao mtaani Kando kando ado ado
Siwachukii wananifundisha, So we are still friends

Nina marafiki hawana deal na mii
Hawana sera na wanachill na mii
Wanajua nilipotoka ila hawakuwepo niliposota
Leo wanashoboka kisa mi msanii wanazingua but we best friends

Wapo waliopotea fasi
Unawalea leo kesho wananyea kambi
Tunapeana gwara kama marasta tukikutana
Kinyongo hakuna niko safi, ‘cause we are best friends

Hatua ndogo sijavuka futi
Siwezi kufurahi moyo linapokufa kundi
So unapookota dodo siwezi fuga bundi
Moyo wangu mdogo siwezi fuga chuki
‘Cause we are bеst friends

So sihusiki na ugomvi wako, Lifestyle au kopi zako
Gossips za matozi wеnzako
Nishaumizwa na watu industry na makovu yapo
So I'm sorry that i'm causing trouble. Best friend
Misingi yangu haipasuki man
Una-confuse ushindani na ukinzani
Sikutukani labda tu uanzishe chuki nami
Naiheshimu culture nikifagia situpi ndani

Sio mtemi hata kidogo, Japo sichekicheki
Niliitika nyumbani waliponiita, Ukinzani ulipofika
Wakanifunza amani palipo vita nina uhakika
We are best friends

Washkaji zangu wa utotoni wanang'ata pela
Walienda mtoni kuzisaka cheda
Na wengine walidakwa Jela
So siwezi kuchukia hustler mwenzangu akipata hela

Naishi kizazi bro kama hauamini muulize Kadgo
Siwezi ringa nyumbani mbali bro
So ukiona nimeandika tusi ujue ni typo
And I'll be sick If I'll ever enjoy your downfall

Biashara vita ushajitupa vitani
So Ukishindwa sitegemei ka' utakufa kiimani
Sina chuki napoona unavifuga vidani
Furaha yangu ni kuona umem-retire bimkubwa nyumbani, So we are best friends

Mitihani hii haina majibu
Palipo na amani pana taifa nadhifu
Usitegemee niwe msafi ka' malaika wa mbingu
Na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu
We are friends bro
Kuwekeana chuki inakera
Sirudii upuuzi walileta nuksi masela
Mi sio bepali kwahiyo sifugi mahela
Unakosea kuniweka kwenye kundi na Fela

I'm not your enemy maana haupo nilipo master
Lyrical Murderer Kikatili Nakili mastanza
Ushasikia nyimbo mtaani wananakili maujanja
Cargo begani ka' msafiri nasafirisha culture mi ni
Bestfriend

Yeah! But you' re already know
And I'm on my MP heavy flow
Kadi bury Og
Nisome humu nabakia ngome ngumu kama Highbury 03

Hustle mode so nicheki kesho
Kwenye hotel ma-suit flani hivi presidential
Nikiunda Good stuff, going past your comprehension
Huoni Ma-chef wanacopy session

Sijakucheki niko resi wanauliza do I ever rest
Hizi height ni mount everest
This is art in a full form
Hazifanani na ma-uniform scout mi ni unicorn

I'm your Best friend Nakwambia game chafu
Hell yeah ushaona ma-dirty players
Pole sana universe doesn't play fair
P hajakwambia Industry jela sio daycare

Badala ya kuanza kulalamika kwenye kila pini
Chagua kufanya au chagua kuweka mpira chini
Maana kila mbuyu mkubwa una kila jini
Si uungwana wakikuudhi ukiniletea hasira mimi

Naweza nika-login nika-like-like kisha
Nika-reply Lengo ni ku-hype hype twitter
Uliza watu wote mtaani wote wanaomfahamu vina
Nikiamua kumbattle mtu huwa namtaja jina

Sivungi vungi bahati mbaya you are not My competition
Mwanao alafu uniandikie wimbo contradiction, This is not a diss I'm just clarifying
Kama unataka biff kama mbwai mbwai, Lets go to mission

Wekeza ujikimu nakuheshimu jiheshimu
Tuheshimiane I'm your best friend
Ukipata stress nipigie tu-adress
Ukiniundia case ni wazimu, I'm your best friend

Mawazo yakija unaokota some books
Unalipia membership kwenye gym, I'm your best friend
So usinirushie stimu
Futa Candy crush kwenye simu

Same color si Wabantu
Sanaa maisha yangu sina masihara niki One-two
Tuko tofauti ka sigara na tumbaku
So ukiniletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu, I'm your best friend

Kwanza kunywa chai
Wenzio walinijadili wakavua tai
Kazi ngumu waaajiri walifanya dua site
Kunitaja sio ujasiri hiyo ni suicide

Japo sikujikuji mbele, na sisukisuki nywele
Na sifugifugi upele, na situpitupi mchele na
Sina matatuu sifagili mananiii
Machupi chupi tele I'm your bestfriend

Gear ya chini ya ufundi wangu
Ishi upande wangu haustahili matusi yangu
Haustahili muda wangu haustahili maujuzi tangu
Nanyoa haustahili kugusa ma... Sorry

Umesahau haya maclick click pow pow
Uko Idle na unani-diss-diss calm down
Ukilala game itaku-jig-jig now now
Man! Hawa machizi wa siku hizi Jau jau

Nina Portfolio nyingi imara tu
Ningejali jinsi unavyoni-diss but my hands are full
Unafahamu tatizo niki-lay verses
Be careful What you say next, bloody fool

Inanishangaza sana
You had all the means to check me ukachagua wimbo ‘cause unataka drama
Nishadiss hadi kanisa langu msenge haukumbuki
Unataka niue mende kwa bunduki
I thought we friends Ni**a

Sanaa ni ujuzi bro
Sio vipuri perfume access ya studio
Sanaa ni sport kwenye ligi kama Premier
Kaza ndonga now una deal na ma-senior

Kichwa haiwezi kukata ma-equetion
Mainstream jau nashangaa hujapata hii impression
Kama hauna moyo kinachofata ni recession
Uwe chawa au uanze kudata na depression

We still need you, kuona unatoka salama
Kabla ya kuosha makasha au kugonga maplama
Au kuhonga mabanda au kuloga kwa waganga
Unaponipa gwara hakikisha umeoga janaba
Mi ni best friend

Rafiki yangu aliniambia nyimbo zangu mbovu
Eti sauti yangu chovu
Ndugu yangu wa damu alisema vision yangu pofu
Na bado tunaongea so unamind kisa like bob

I wonder where your manner be
Miaka 3 umeanza kushiba upuuzi wa hawa madrama kings
Shukuru leo kakaako nipo so the school's free
Skills ka' Albert Mangwair ama Bruce lee

I'm your real friend kushinda Pastor
Kushinda sera na kampeni za mwanasiasa
Kushinda your so called Godfather anayekuacha unasafa
Real kushinda hata your favorite Rapper

Industry ni sumu sana ndio maana I stay hidden
Your so petty man that's why we are not even
Kulalamika ni dalili kuwa haumudu challenge
Na mafanikio sio mpaka A-approve Tale
He's not your friend

Mimi nna wadau kijiji
Daily wananipa shout out kichizi
Wanasema nimeenda shuke afu nina-rap kichizi
Nina star look and I'm nice bado siringi

Tale atasema nini? labda akahubiri Garilaya
Game ikiwa shubiri na-retire
Kama unataka tuoneshane nani ni jangiri basi haya
Hauwezi kuvunja ushikaji kwa like ya bahati mbaya, You're my best friend

Ungenicheki tu ningekuomba radhi
Ni vile unataka attention kwa watazamaji
Sasa amua vyema ukikosea unazama maji
Nakuua live nagawa content kwa watangazaji

You ain't got no business dissin me
I'm a full band an orchestrated symphony
Ulipo-master branding mi' nili master art
Na Ndio maana every record is master class, listen G

Umeanza upuuzi upuuzi ung'ae ng'ae
Ngoma zenyewe ni kuch kuch nae nae
Town umekuja juzi juzi makuzi
Unadhania mi ni mpuuzi mpuuzi K‘*****
 
This is too vital 🫡

Hapa wale madogo wa …”oooh my..”petit man rasta..

Wanatoa album nzima kutoka hii verse
 
Oyaaaaa
 
Naona kuna watu wanasema dizasta vile hivi,, nabaki nacheka afu nakumbuka kuwa sio kila mtu anaweza kuimba nessun dorma ni wachache tu, na hao wachache wanakubalika na wachache

Naomba ngoma za msanii yeyote yule ambaye ana album mbili au 3, zenye philosophy ya kufikirisha kama dizasta,,

Sitashangaa kama mtu ataniponda kama anasikiliza ngoma kama the confession of a mad philosopher na anatoka kapa
 
Watakwambia mwamba anatoka nje ya biti

Mara hana flow nzuri and so so sooo

Dizasta anajua sana.!But kila mtu anapenda vitu vyake

Lazima niheshimu maoni yao!

Kwangu mimi namkubali Dizasta sababu ya uandishi coz napenda kusikiza between the lines na sio flow tu wala beat.but content

Lyricist bora kwangu atabaki Fid Q,Dizasta na One incredible..over!!

Wengine nawakubali lkn kwa vitu kama freestyle/flow n.k
Ila kwa uandishi hao jamaa watatu ni miamba sana.
 
Kwa flow kweli dizasta kuna watu wanajua,, kama mwamba uno the incredible,, ila flow kila mtu ana flow,, tatizo what's the content unasikiliza ngoma ya dizasta kama confession of a mad man unataman kujua what happened later,,

Wanasema hana flow nzuri wamesikiliza ngoma ya money,, wajue dizasta sio aina ya wasanii wao ambao ukiwapa ngoma ya dk 8 bila chorus hawatoboi.

Ukweli usemwe he's the verteller sio kwa bahati mbaya,, na mijitu haifatilii mambo,, ngoma yake ya kwanza kabisa kwenye album ya verteller alisema mabibi na mabwana dizasta vina ni verteller,,
 
Rapcha amemjibu Dizasta, ngoma inaitwa Nyu'clear Story Freestyle. kasema mengi humo ila moja lililofanya nimpuuze ni ile kusema kuwa Freestyle zake ni kubwa kuliko career nzima ya Dizasta.

Ila all in all the kid went hard kinyama kwenye hii. Sina shaka na uwezo wa Dizasta kwenye kujibu hiyo diss, ila nina shaka na kama kweli anaweza kuamua kuijibu.
 
Namshukuru sana Rapcha kwa kujibu Diss ya Dizasta
Maana hakuna nachosubiri hapa zaid ya Best friend-2

Game is on

Dizasta kupitia hii dis naona watu wengi wameanza kumfatilia hope atapata airtime aende mainstream
 
Back
Top Bottom