Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 677
- 2,072
- Thread starter
- #161
Rapcha amemjibu Dizasta, ngoma inaitwa Nyu'clear Story Freestyle. kasema mengi humo ila moja lililofanya nimpuuze ni ile kusema kuwa Freestyle zake ni kubwa kuliko career nzima ya Dizasta.
Ila all in all the kid went hard kinyama kwenye hii. Sina shaka na uwezo wa Dizasta kwenye kujibu hiyo diss, ila nina shaka na kama kweli anaweza kuamua kuijibu.
Ngoma. yenyewe kuchi kuchi nai nai





