Dizasta Vina a.k.a Maradona

Dizasta Vina a.k.a Maradona

Mbishi waga ana shida zake tu binafsi mkuu, pride huwa inamzidi, Mbishi ndie naweza kusema msanii ambae yupo obsessed na kwenda mainstream kuliko msanii yoyote yule tangu yupo Tamaduni hadi kikosi kazi

Kuna wasanii wengine wao wameridhika na sehemu walipo na huwezi kuskia wanapiga kelele kama za Mbishi, mwangalie One,Songa

Alafu kuna hawa P mawenge,Sterio hawa wapo kote kote, wanafight kuingia mainstream at the same hawaichukii underground stream kwahiyo wao hawana stress ambazo anazo nick

Kinachomponza nick ni "kujijua kama anajua" hii kitu inataka kumfanya aamini kuna baadhi ya wasanii wanapata ambacho hawastahili kukipata kwa sababu tu amewazidi uwezo kwenye vitu vingi

Sasa tukija kwenye issue ya Dizasta vina, yeye kwake ni tofauti sana, HATAKI kwenda mainstream either iwe kwa bahati mbaya au makusudi ndomana huwezi kuskia anakuwa na bifu na wasanii waliopo mainstream, hatqki kwa sababu itamnyima Uhuru alionao katika kuandika

Huwezi ukawa Mainstream alafu ukaimba wimbo kama KANISA itakuwa ni suicide katika career yako huwezi ukawa Mainstream ukaandika wimbo kama "A CONFESSION OF MAD PHILOSOPHER" ukiwa mainstream ni ngumu kuandika wimbo kama "SHAHIDI" huwezi kuandika "KIFO"

Skiliza album kama Super Nyota alafu skiliza The verteller ndio utaona tofauti ilipo, sio kwamba Young killer hawezi kufanya anachofanya Dizasta vina, hapana bali Hana hizo Gut's, sasa hicho ndio Dizasta hataki kukipoteza pindi atakapokuwa mainstream Kwa sababu mainstream wana code zao

Dizasta vina hawezi kuandika eti "Napotokea hakuna alietoboa labda alietoboa maskio" ili tu watu wafurahi na apate viewer's wengi au streaming za kutosha ila hao watu wasijifunze chochote kupitia uandishi wake

“ George Ambangile “ wa bongo hiphop 🫡

Unaichambua vizuri sana hiphop yetu tunafurahi kupata hivi vitu
 
Amebukuka hapo kwa hayati waziri Sokoine alipiga Course moja ya kudeal na "Majani (chakula) na wadudu wasambazao magonjwa kwenye Mifugo" code

Fanya ukutane nae mkuu kama nawewe ni mwanafalsafa ili mbadirishane mawazo/mitazamo maana kiuhalisia Dizasta vina sio mtu wa kawaida kama watu wanavyomchukulia

Nadhani kupitia mashairi yake unaweza kuhisi jamaa ni mtu wa namna gani, na kwenye mashairi yake jamaa anajitahidi sana kurahisisha ili kila mtu aweze kuelewa ila bado kuna watu hatumuelewi

kwenye kuandika ni kama vile anatumia ¼ tu ya uwezo wa Akili yake, waliokaa karibu na Edgar na sio "Dizasta vina" ndio wanaweza kuthibitisha haya nayosema

Anyway, let's enjoy his work brother.
Sure thing chief
 
We jamaa unavyomuelezea dizasta mpaka nahisi wewe ndie dizasta mwenyew
 
Roma uzuri wake aliingia moja Kwa moja Mainstream kutumia siasa kipindi ambacho kila mtanzania alikuwa anapenda siasa kwahiyo akajizolea mashabiki wa kila lika na kila jinsia na ndio hao hadi leo hii wanaendelea kustick na jamaa

Actually Nick hawezi kuwa kama Roma maana harakati za nick na Roma ziko tofauti japokuwa zote ni harakati, Roma harakati zake zinamgusa kila mtu kwakuwa anaongelea siasa na kuna nyimbo za Radha tofauti anajumuika na Stamina zinazidi kumbeba, ila harakati za Nick kukugusa ni hadi uchague mwenyewe

Na of course ni kweli mkuu inabidi watumie vizuri digital platform kujiuza ili kupunguza lawama,hasa kwa Nick maana Dizasta hajawahi kulalamika sehemu yoyote ile kuwa anachokipata hakitoshi hadi alete bifu na wasanii walio Mainstream

With time Dizasta anaongeza wigo wa mashabiki kila kukicha hivo ata streaming zake kwenye baadhi ya platform zinapanda taratibu plus na diehard fans wachache alionao ndio wanaosapoti kazi zake kwa kununua basi maisha yanaenda
We jamaa unaielewa sana hii industry
 
We jamaa unavyomuelezea dizasta mpaka nahisi wewe ndie dizasta mwenyew
kwamba unahisi najipakulia mwenyewe Minyama

Trust me brother jamaa kwenye kuandika ni best sana, basi tu amepata bahati 'nzuri' ya kuzaliwa bongo hivo kuna uwezekano asije kula matunda vizuri ya kipaji chake

Laiti kama angekuwa mbele, naimani jamaa angekuwa "Ghost writer" mwenye mkwanja mzuri tu maana angetumika kuandika Album za wasanii wa hip-hop kibao
 
Sure chief
 
Namshukuru sana Rapcha kwa kujibu Diss ya Dizasta
Maana hakuna nachosubiri hapa zaid ya Best friend-2

Game is on

Dizasta kupitia hii dis naona watu wengi wameanza kumfatilia hope atapata airtime aende mainstream
Hamuwezi D-Vina,kajibu kitoto sana.
Ngoma ukizipima unaona mzani kabisa unaegemea wapi.
Kuna wasanii wanakuzwa tu!..D-Vina is the real deal hata 2pac alisemwa anapitwa flow na Big small..ila mwisho wasiku wanarudi kwa Pac
 
Hakuna mwenye shaka na black maradona

Hii battle mshindi kashatangazwa kabla ya pambano

Ila sisi mashabiki tunapenda wanavyomchokoza jamaa ili aendelee kuachia tungo

Vita vya panzi furaha ya kunguru sisi ndo kunguru wenyew
 
IMG_0418.jpg

SHAHIDI
 
Amebukuka hapo kwa hayati waziri Sokoine alipiga Course moja ya kudeal na "Majani (chakula) na wadudu wasambazao magonjwa kwenye Mifugo" code

Fanya ukutane nae mkuu kama nawewe ni mwanafalsafa ili mbadirishane mawazo/mitazamo maana kiuhalisia Dizasta vina sio mtu wa kawaida kama watu wanavyomchukulia

Nadhani kupitia mashairi yake unaweza kuhisi jamaa ni mtu wa namna gani, na kwenye mashairi yake jamaa anajitahidi sana kurahisisha ili kila mtu aweze kuelewa ila bado kuna watu hatumuelewi

kwenye kuandika ni kama vile anatumia ¼ tu ya uwezo wa Akili yake, waliokaa karibu na Edgar na sio "Dizasta vina" ndio wanaweza kuthibitisha haya nayosema

Anyway, let's enjoy his work brother.
Acha uongo wewe
 
Back
Top Bottom