Dizasta Vina a.k.a Maradona

Dizasta Vina a.k.a Maradona

Safi mkuu hadi hapo tuko pamoja na uko Sawa na tafsiri ya walio wengi ila kuna sehemu bado panahitaji msaada

Walikuja madogo wajanja na mapesa/

Wakauliza mama ukivaaje unapenda?/

Wakamuahidi ndizi,mawaridi na hariri/

Lakini jasiri rangi yake ya asili ilitesa/

Warembo wa dunia na vivazi vyao/

Walipanga kumfikia na ilibaki njozi kwao/
Mwandishi kalitumia jua kama mwanamke, tena kwa kificho sana, ni vigumu kuelewa kila line. Japo nimeweza kujua wazo la mwandishi
 
Wakuu nani ana muda

Tuisikize ngoma ya dizasta-tattoo ya asili

Halafu turudi hapa tuichambue,ile sio nyimbo ni script

Sijui akina Lamata wapo kweli humu JF
 
Dizasta vina kaachia chuma hiki ni 🔥🔥
Screenshot_20231209-224615_1.jpg
 
Back
Top Bottom