Diwani massanja aendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani massanja aendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waga, Oct 3, 2008.

 1. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida na ya kushangaza juzi siku ya juma tano (Eid) maeneo ya tabata relini hapo pembeni ya ofisi za MWANANCHI COMUNICATION nilikuta ajali ambayo ilihusisha magari mawili aina ya SUZUKI ESCUDO, nilipaki pembeni kuangalia kulikoni nikakuta DIWANI MASSANJA WA KATA YA UBUNGO akiwa amelewa na akiporomosha matusi ya ajabu kwa yule kijana mwingine ambaye gari lake liligongwa, sikutegemea wala kutarajia kuona mtu kama yeye ambaye na yeye anaitwa MHESHIMIWA DIWANI anaweza akajisahau na kutoa matusi hadharani mbele ya watu ambao wamezunguka kuangalia ajali ile while yeye mwenyewe ndio anaonekana ana makosa na pia akiendesha gari akiwa amelewa na pembeni yake alikuwa na mwanamama mmoja sijui ni mkewe au la.

  Niliumia sana kuona DIWANI anashindwa kutumia busara na ushawishi wake alioutumia wakati akiomba kura ili amalize tatizo lile badala yake anatumia nguvu, jeuri, majivuno, na matusi ya nguoni eti kwa sababu yeye ni MHESHIMIWA DIWANI, kwa kweli watu waliokuwa pale walionekana wazi wazi kukerwa na tabia ya diwani yule kutokana na matusi ambayo alikuwa akiyavurumisha bila woga tena kwa kujiamini mno......

  Alisema MMELETA MA*******KO YENU NA MI NIMEWAFI******, HAYO NI MANENO YALIYOKUWA YANATOKA KINYWANI MWA DIWANI AMBAYE ANAONGOZA ZAIDI YA WATU LAKI TATU WA KATA YA UBUNGO.

  WILI MBILI ZILIZOPITA TULIMJADILI MKULO HAPA KWA TABIA YAKE YA KUTOFUATA SHERIA ZA BARABARANI, JE HAWA WANAOJIITA WAHESHIMIWA HAWAJUI SHERIA ZA BARABARANI AU NI KIBURI NA MAJIVUNO YA VYEO VYAKO KIASI KWAMBA WANAJIO WAPO JUU YA SHERIA??
   
 2. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2008
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni Diwani ya CCM kumbuka. dont expect anything good
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Oct 3, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Yap,Chama chenyewe hakina maadili maanke kama wanaweza kuiba kabisa unadhani watashindwa kutamka matusi.

  NB: Si vizuri kuhusisha udhaifu wa mtu mmoja mmoja na chama kama taasisi ila sasa CCM imezidi
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Hao ndio wateule wa Chama Cha Mafisadi. System inamlinda, so kifua mbele kwa mitusi. Hapo muulize tatizo la ukosefu wa maji Ubungo yote. Atakurupuka tunalifanyia kazi. Hovyoooooooooo.
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa hili Waziri ofisi ya waziri mkuu tawala za Mikoa anapaswa kuwajibika!
   
  Last edited: Oct 3, 2008
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Achapwe viboko hadharani
   
 7. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Atiwe korokoroni pia kwa kutukana hadharani. Hakuna cha udiwani wala nini majitu malimbukeni hayo. Sasa kuwa diwani tu hivyo angekuwa Mbunge ingekuwaje??? Ningekuwa mimi ningempa kipondo kwa ujeuri wake mambo mengine yangefata baadae pombe zikimuisha!!!!!!!
   
 8. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2008
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Wacheni kukichafua CCM kwa madudu ya Masanja, worse enough hii issue unasema imetokea infront of MCL , mbona wamemnyamazia huyu muhuni anapeta. Mchapeni ktk media kama ilivyoanza humu na siyo yeye tu maana pale pana kituo kikongwe cha polisi nacho kimulikwe kwa kuzembea ujinga huu.
  Tuwe wazalendo kwa kufichua upuuzi wa aina hii ktk jamii na si kusubiri makamba aliyeko tarime aseme.

  Kidumu chama cha mapinduzi
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Nionyeshe huyo anayeweza kuichafua CCM zaidi.
  "Kidumu" kwa faida ya nani, yako wewe?
  Ndo nimeanza hivyo kuwa mzalendo.
  .
   
 10. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapa JF hakuna anayeichafua ccm, wanaoichafua ccm ni viongozi ambao wanakuwa wapole wakati wa kuomba kura na wakishaingia madarakani wanasahau wajibu wao. Hakuna sababu ya kutoa matusi kwenye jumuiya ya watu, any way mwisho wao upo lets wait and see
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Jamani huyu diwani nashauri ccm wambadilishe kwanza ana tabia zifuatazo

  1))....ana tabia ya ulevi,,umalaya na amekuwa akitaja cheo chake ovyo baada ya kunywa na hata kujisifia ....

  2))namshauri aache kupita kwa wafanya biashara wa ubungo kuomba omba,,amekuwa akipiga simu ovyo naomba nikope laki 3,,malipo anakutangazia kuna tenda .......ukikosa anakutumia nusu na kudai amelipa kwenye tenda wamemuangusha muwe macho sana sana.............

  Masanja sipendi nasema sipendi tabia yako kufwata wake zetu ukome nasema ukome tutakuvisha mshipa!!!!!1
   
 12. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inaonekana tabia ya huyu diwani ni chafu mno maana hata pale eneo la ajali watu walikuwa wakilalamika sana juu ya tabia yake ya ulevi na hata wengine walisema kuwa huyu anakiaibisha chama chake maana hafikirii kuwa hapa yupo karibu na ofisi za vyombo vya habari anapayuka matusi na kuivunia cheo chake sasa sijui anategemea atafikia ngazi walizo kina keenja kwa mwendo huu?
   
 13. M

  Masatu JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mamamia kulikoni wewe Mwanamama umeoa! mmh makubwa haya kweli JF kuna mambo...
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Oct 3, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  a lame attempt of comedy and humor.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nick name za kwenye JF, mama mia ni mwanaume hahahahaha na anakaa ubungo connecting the dots
   
 16. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yeah huo ndo uhalisia, si nick name bwana kipi kinachoshangaza?
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Oct 4, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Acha kukurupuka Mkuu
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Oct 5, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Kuna rafiki yangu mmoja hakimu Gabriel Mirumbe, sijamsikia muda mrefu sana tangu atoe hukumu ya kumfunga jela Mtikila. Yeye alipoanza uhakimu kule Tabora, hukumu zake nyingi zilikuwa zinaandamana na viboko 25.
   
 19. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #19
  Oct 5, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280

  Siyo wao kuwajibika bali kumwajibisha yeye kwa kutumia madaraka yake vibaya
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  waga waga is offline
  waga is Masikini
  Senior Member

  Join Date: Wed Feb 2008
  Posts: 69
  Rep Power: 21
  waga has much to be proud ofwaga has much to be proud ofwaga has much to be proud ofwaga has much to be proud ofwaga has much to be proud ofwaga has much to be proud ofwaga has much to be proud ofwaga has much to be proud of
  Thanks: 28
  Thanked 58 Times in 36 Posts
  Credits: 4,090
  Default Re: Diwani massanja aendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali
  Quote:
  Originally Posted by MAMA MIA View Post
  Jamani huyu diwani nashauri ccm wambadilishe kwanza ana tabia zifuatazo

  1))....ana tabia ya ulevi,,umalaya na amekuwa akitaja cheo chake ovyo baada ya kunywa na hata kujisifia ....

  2))namshauri aache kupita kwa wafanya biashara wa ubungo kuomba omba,,amekuwa akipiga simu ovyo naomba nikope laki 3,,malipo anakutangazia kuna tenda .......ukikosa anakutumia nusu na kudai amelipa kwenye tenda wamemuangusha muwe macho sana sana.............

  Masanja sipendi nasema sipendi tabia yako kufwata wake zetu ukome nasema ukome tutakuvisha mshipa!!!!!1
  Inaonekana tabia ya huyu diwani ni chafu mno maana hata pale eneo la ajali watu walikuwa wakilalamika sana juu ya tabia yake ya ulevi na hata wengine walisema kuwa huyu anakiaibisha chama chake maana hafikirii kuwa hapa yupo karibu na ofisi za vyombo vya habari anapayuka matusi na kuivunia cheo chake sasa sijui anategemea atafikia ngazi walizo kina keenja kwa mwendo huu?
  __________________
  INAUMA KUONA FISADI ANATEMBEA KWENYE GARI LENYE KIYOYOZI KUTOKANA NA KODI ZETU ALAFU WAVUJA JASHO TUNAPANDISHIWA NAULI ZA DALADALA WALAHI TUTAKOMAA NA NYIE MPAKA KIELEWEKE


  mkuu waga

  huyu bwana ni mshenzi wa washenzi na kama huamini nenda kwa wafanyabiashara pale ubungo wakueleze uchafu wake halafu ukimkopesha ati anakuletea cheti cha kazi bora kwa kusaidia ujenzi wa taifa mshenzi wa washenziana ..nenda pita ubungo angalia utakuta maofisi mengi yana vyeti toka halmashauri zina saini yake ujue kaliwa mtu hapo

  hata kama ni visadi vidogovidogo basi viwe na adabu jamani hatukatai wanataka kufanana na babazao wakina lowasa rostam lakini hata wao mpaka wamefaniikiwa kutibia hawakuwa na dharau hivi mtu wangu masanja elimika mtu wangu,,unatia aibu jimbo lako zima
   
Loading...