Diwani CHADEMA kata ya Leguruki ajiuzulu

Kununuliwa si dhambi, ila kuonyesha waziwazi kuwa umenunuliwa ni dhihaka juu ya nafsi yako mwenyewe. Eti amejiuzulu ili atumikie wananchi! Sasa si alishapewa hiyo ridhaa ya kutumikia wananchi? Si angeendelea kuwatumikia ili aonekane? Hivi huwa wanapewa shilingi ngapi za kujidhalilisha na kuonyesha wazi jinsi walivyo na vichwa vya kitahira? Hawa wako tayari hata kununuliwa ili walawitiwe maana kichwani hakuna kitu kabisa!

Halafu kumbe mtu mwenyewe anayepewa sifa ni Mnyeti? Kazi kwelikweli.
 
Leo ndiyo nimeelewa ujumbe wa Lema jana kuwa kuna viongozi wajinga wananunuliwa, aende tu CDM ni kubwa kuliko huyo diwani.
 
Kununuliwa si dhambi, ila kuonyesha waziwazi kuwa umenunuliwa ni dhihaka juu ya nafsi yako mwenyewe. Eti amejiuzulu ili atumikie wananchi! Sasa si alishapewa hiyo ridhaa ya kutumikia wananchi? Si angeendelea kuwatumikia ili aonekane? Hivi huwa wanapewa shilingi ngapi za kujidhalilisha na kuonyesha wazi jinsi walivyo na vichwa vya kitahira? Hawa wako tayari hata kununuliwa ili walawitiwe maana kichwani hakuna kitu kabisa!

Halafu kumbe mtu mwenyewe anayepewa sifa ni Mnyeti? Kazi kwelikweli.
Lema alisema jana hii kitu.
 
Meru kuna watu wana njaa za hatari .anafikiria akiwa nanii ccm atapiga pesa kama zama zile .[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ninawaonea huruma sana.Ika huyu alijiuzulu toka Mwezi uliopita.

Hongera zake akatumikie tumbo lake.
 
Nasari naye naona kama account haijasoma tu!
Ikisoma tu haya maneno ya "kuunga mkojo juhudi za magufail" mara dhamira njema, utayasikia.

Malaika akiwa mbinguni, akitupwa duniani anakuwa shetani tu!!

Lema alitutonya hii makitu.
Huyo diwani utakuta katokea eneo la njaa Kali hapo meru .
 
Lema kwani Jana alisemaje ? Tutegemee na wengine asa huko Aru . Hamna penzi gumu sana la ushawishi wa pesa zikiisha unakumbuka ulikotoka . Nenda mwanakwenda.

Traitor at work
 
Kajiuzuru Dr Slaa tukasonga mbele, sembuse huyo diwani! Mwache ashuke, basi limemfikisha anakokwenda, wengine wanapanda kuanza mwendo.
 
Si nasikia wengi tu washapewa fweza na mainzi ya kijani
 
Hao Madiwani watakuwa wametishwa na Mnyeti na kupewa fungi dogo la pesa,na inawezekana zikawa za Rambirambi ya wanafunzi.

Nawapa hongera kwa kufanya uamuzi wa kipumbavu
 
Safari bado itaendelea tu hata angejiuzulu mbowe,ni lazima mabadiliko ya kweri yaonekane tz,

Nafikiri mabadiliko yangeanzia kwako kwanza kwa kujifunza kuandika Kiswahili vizuri ndiyo uhamie kwenye nchi!
 
TAARIFA KWA UMMA.

SALAMU SANA.

Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.

Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.

Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.

Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.

Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.

Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.

Nchi Yangu +

Matokeo Chanya +

Arumeru Ya Vitendo +

Na Mwandishi.

Titho Cholobi.
Being democrat means you are against USA gvt. Our IQ is below zero.
 
WERA WERAHHH! Ni shadah...tutaona mengi sana kabla ya 2020.... CHADOMO WATAZIDI KUPAUKA!!!
 
ile kauli ya madiwani kununuliwa kama naiona inafanya kazi
 
Back
Top Bottom