TAARIFA KWA UMMA.
SALAMU SANA.
Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.
Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.
Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.
Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.
Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.
Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.
Nchi Yangu +
Matokeo Chanya +
Arumeru Ya Vitendo +
Na Mwandishi.
Titho Cholobi.