mbikagani
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 3,107
- 1,782
Ni vema kuangalia wapi mmejikwaa kuliko kulalamikia mnapoangukia.
Hawa madiwani wangekuwa wa ACT wazalendo, mngesamema wamerudi kwenye chama chao. Au usaliti unatutafuna.
ANGALIENI WAPI PANAWAKIMBIZA WATU.
Hawa madiwani wangekuwa wa ACT wazalendo, mngesamema wamerudi kwenye chama chao. Au usaliti unatutafuna.
ANGALIENI WAPI PANAWAKIMBIZA WATU.
Nasari naye naona kama account haijasoma tu!
Ikisoma tu haya maneno ya "kuunga mkojo juhudi za magufail" mara dhamira njema, utayasikia.
Malaika akiwa mbinguni, akitupwa duniani anakuwa shetani tu!!
Lema alitutonya hii makitu.