Diwani CHADEMA kata ya Leguruki ajiuzulu

Hawa madiwani wanataka kumsaidia rais kazi za kumpigia viatu kiwi au kumfulia nguo !
Kama waneshindwa kutumikia wananchi kupitia nafasi zao za udiwani wataweza kuwatumikia kupitiia nafasi gani !
Au wameahidiwa kupewa nafasi ya ulinzi wa kulinda Makinikia !
 
vipi kiwango chake cha elimu..isijekuwa ameenda kwenye kundi lake
 
Umesema vyema,jenga hoja kutueleza kwa nini CHADEMA walikubaliana na matakwa ya mtu mmoja kubadili gia angani na kuwatupa jalalani viongozi wake waliojitolea kwa gharama ya kuumiza miili yao na kumsimamisha waliyesuta hadharani na sirini? JPM ni habari nyingine kwa anayejali maslahi ya Tanzania na si tumbo lake kuunga mkono juhudi za rais wetu hahitaji kuorodhesha mambo makubwa anayoyafanya.
Huwezi ukafanya ujinga kwa makusudi eti kwa sababu Baba yako alishawahi kufanya ujinga kama huo.
 
Sijaona hoja nadhani ni mpango kazi huenda na wewe ulikuwa targeted kuleta hapa ndiyo maana umeandika kikada sana.
Atajuta baadaye.
 
TAARIFA KWA UMMA.

SALAMU SANA.

Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.

Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.

Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.

Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.

Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.

Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.

Nchi Yangu +

Matokeo Chanya +

Arumeru Ya Vitendo +

Na Mwandishi.

Titho Cholobi.
Ameondoka dr slaa sembuse diwani?afadhali ameondoka mungu amesikia kilio cha wanachadema cha kuondoa watoto wote wa dawa ndani ya chadema
 
This is evil, to say the least. Jenerali Ulimwengu alipata kuandika kuwa kama kuna mabadiliko yatatokea nchi hii katika awamu ya tano, mabadiliko hayo hayataletwa na CCM. Wakati tukiaminishwa kuwa rushwa inapigwa vita, katika uwanja wa siasa, inaelekea ndiyo kwanza inashika kasi.
 
natamani sana Arumeru iwe kama ulaya ila Chadema wameigeuza kama dampo; msifanye makosa tena wasuri...
 
TAARIFA KWA UMMA.

SALAMU SANA.

Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.

Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.

Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.

Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.

Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.

Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.

Nchi Yangu +

Matokeo Chanya +

Arumeru Ya Vitendo +

Na Mwandishi.

Titho Cholobi.

Jamaa wana strategies kweli!
 
Ameondoka dr slaa sembuse diwani?afadhali ameondoka mungu amesikia kilio cha wanachadema cha kuondoa watoto wote wa dawa ndani ya chadema
Angesikia MUNGU ingekuwa tatizo kubwa,maadam kasikia mungu huyo wacha awasikie wasiosikia.
 
Siku hizi ili Mkuu wa wilaya aonekane anachapa kazi ni lazima apambane na upinzani! Mkiambiwa Wakuu wa mikoa na Wilaya hawana kazi za kufanya mnabisha! Ni aibu na ufisadi Mkubwa kuwalipa mishahara itokanayo na kodi za Watanzania watu wanaofanya kazi za chama kimoja kwa maslahi ya hicho chama.
Ni wakati muafaka wa kutafakari aina hii ya Ma DC... Unapoteza pesa kwa ajili ya kuwahonga watu ili wajiuzulu kazi za kuwatumikia Watanzania waliowaamini na kuwapa kura zao ili upate nini?
Halafu DC wa aina hii kesho utamuona kanisani ananyenyekea kinafiki mbele za Bwana! Sijui huwa wanamwambia nini Mwenyezi Mungu!
 
TAARIFA KWA UMMA.

SALAMU SANA.

Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.

Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.

Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.

Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.

Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.

Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.

Nchi Yangu +

Matokeo Chanya +

Arumeru Ya Vitendo +

Na Mwandishi.

Titho Cholobi.
akili zakipopo kweli kwa hiyo akiwa CDM hawezi kuunga mkono jitihada za CCM,ununuzi makinikia unashika kasi CDM nao wajifunze kuwapatia watu nafasi waliokuwa CCM kabla kitawponza na kuua chama chao,msaliti hawezi acha usaliti hadi kufa
 
Back
Top Bottom