Diwani CHADEMA kata ya Leguruki ajiuzulu

Diwani CHADEMA kata ya Leguruki ajiuzulu

Huyo diwani ana upeo mdogo wa kufikiri kwani akiwa Chadema hawezi kumuunga raisi na kushirikiana naye? Mshili ndo nini?
 
CHADEMA itabaki Arusha mjini basi na siku wakimchoka Lema na siasa zaie zisizo na tija watapigwa chini jumla
 
Acheni povu Rais anachapa kazi bana diwani yupo sahihi kabisa karibu baba diwani upumzike kwa amani huku hatunaga mambumbu yani. Tunapiga kazi mbaya arifu. Achana na hao wapinga kristo.
 
Ila vijana wa ufipa mnajuwa kujifatiji.Ongera diwana kwa kuweza kutofautisha maji na kojo
 
Acheni povu Rais anachapa kazi bana diwani yupo sahihi kabisa karibu baba diwani upumzike kwa amani huku hatunaga mambumbu yani. Tunapiga kazi mbaya arifu. Achana na hao wapinga kristo.
BAVICHA wanatapatapa
 
Hao ndiyo watu wa Arusha baba, sijui Yale majigambo huwa wanayatoa wapi na kwa ujasiri upi!
Walio ndani ya upinzani wanau sambaratisha upinzani kwa maslahi yao binafsi. Watu wa pande hizo ni rahisi sana Ku deal nayo, chukua aliye kimbele mbele au kiongozi, mpatie mkate au vipande vya fedha hapo unakua umewasa mbaratisha wote
Wameujua ukweli Kuwa Magufuli anamaanisha kweli.
 
Mwambieni akaribie Chama kubwa!
Huyu ndiko yaliko mambo yote!
 
Arumeru CHADEMA wana hali mbaya sana.

Ni kweli wana hali Mbaya maana DC wa Arumeru amemuelekeza Mkurugenzi kutoitisha Mikutano ya Madiwani mpaka DC atoe kibali.Kama hujui nina kukumbusha tu.

Tunawatakia safari njema Madiwani wapya hope watapitishwa kwa kura za ndiyo na Wanachama wa CCM wa Arumeru Mashariki.
 
Wamekwmatwa vibaya sana na Magu

Anayoyafanya Magu yameshapigiwa kelele na Upinzani kwa miaka zaidi ya 18 na Magu akiwa Waziri na Mbunge sana alichofanya akipiga makofi.Wengine hatuoni tofauti ya yoyote ya aliyekuwako na aliyeko
 
Alipoondoka Zito akiwa mbunge CDM ilizidi kuwa imara, huyo diwani hana impact, aende tu kwa wanafiki wenzie
 
Kwa hiyo angeendelea kuwa diwani asingeshirikiana na Rais! Kwani ilikuwa lazima ampinge kwa kila kitu?...hata hivyo Rais wetu hachagui vyama ila vya mashetani....
 
Back
Top Bottom