Diwani CHADEMA kata ya Leguruki ajiuzulu

Kufa kwa askari siyo mwisho wa mapambano,anayekufa anasogezwa pembeni walio hai wanasonga mbele kuendelea na mapambano.
 
Nasari atafuata.Kama rais hapagui chama ,ya nini kuhama chama wakati unaweza kushirikiana naye ukiwa hukohuko kwako? Sema hii ni strategy ya jamaa kuondoka ili 2020 agombee.Bila shaka jamaa atakuwa na tishio ndani ya chama
Hapo ndipo kwenye tatizo, ukweli kuna jambo nyuma ya pazia na sio hayo mapambio ya kuungana na Rais-hili la kununuliwa linaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi. Wenye akili watajiuliza huyo diwani anaunganaje na Rais wakati akiishajiuzulu hatawatumikia tena wananchi!
 
Pesa za acasia hazitawaacha salama madiwani wa upinzani.
 
Sasa kama vita ya uchumi ndiyo ilikuwa hamu yake na Magufuli analipigania si ndio ingekuwa furaha yake kwamba juhudi zao zinafanyiwa kazi? Kulikuwa na haja gani ya kuhama

Kuna haja ya kufuta hili neno upinzani inayotafsiriwa kwamba ni opposition.

Shida hivi vyama vya siasa ni kuangalia matumbo yao tu

Safari ni ndefu sana
 
Kununuliwa si dhambi, ila kuonyesha waziwazi kuwa umenunuliwa ni dhihaka juu ya nafsi yako mwenyewe. Eti amejiuzulu ili atumikie wananchi! Sasa si alishapewa hiyo ridhaa ya kutumikia wananchi? Si angeendelea kuwatumikia ili aonekane? Hivi huwa wanapewa shilingi ngapi za kujidhalilisha na kuonyesha wazi jinsi walivyo na vichwa vya kitahira? Hawa wako tayari hata kununuliwa ili walawitiwe maana kichwani hakuna kitu kabisa!

Halafu kumbe mtu mwenyewe anayepewa sifa ni Mnyeti? Kazi kwelikweli.
Kumbe na ninyi mnanunulika? Mm nlifikiri ipo ccm tu!

Alafu hiyo sentensi ya mwisho, mlimpitisha wa nini kama mliona ni Mnyeti.
 
TAARIFA KWA UMMA.

SALAMU SANA.

Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.

Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.

Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.

Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.

Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.

Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.

Nchi Yangu +

Matokeo Chanya +

Arumeru Ya Vitendo +

Na Mwandishi.

Titho Cholobi.
Cdhani Kama ni sawa kuhama chama
Eti kwa vile umeona utendaji Mzuri WA rais

Hapana hapa kuna jambo nyuma ya pazia
 
Safari bado itaendelea tu hata angejiuzulu mbowe,ni lazima mabadiliko ya kweri yaonekane tz,
Dah.... Chief mabadiliko ya "kweri" hayataletwa kwa pereteperete ....yataletwa kwa "ukweri"...yaani kuweka siasa kando..... . Na hicho ndicho mkulu Anachokifanya [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
TAARIFA KWA UMMA.

SALAMU SANA.

Napenda Kutoa Taarifa Kwa Umma Wa Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuwa Diwani Wa Chadema Na Mshili Wa Wa Meru Ndugu Anderson E. Sikawa Ameamua Kujiuzulu Nafasi Yake Ya Udiwani Kwenye Kata Hiyo Kuungana Na Juhudi Nzuri Za Mh. Rais John Pombe Magufuli Kwa Utendaji Wake Mzuri Wenye Dhamira Njema Kwa Taifa.

Diwani Huyu Wa Chadema Ni Diwani Wa NNE Hapa Wilayani Arumeru Mashariki Kujiuzulu Kwenye Nafasi Hiyo Kutokana Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Chini Ya Mkuu Wa Wilaya Ndugu Alexander Pastori Mnyeti Kwa Uchapakazi Wake Bila Kubagua dini, kabila, Rangi Wala Chama Na Kuweka Kipaumbele Maendeleo Ya Wananchi Mbele Kwa Mantiki Hiyo Basi Ameamua Kujitoa Chadema Ili Aweze Kushirikiana Na Mh. Rais Magufuli Kuwatumikia Wananchi Wa Leguruki Na Wilaya Nzima.

Mintarafu Diwani Anderson E. Sikawa Ambaye Pia Ni Mshili Wa Vijana Anasema Vita Ya Kiuchumi Pamoja Na Vita Vingine Anavyopambana Mh. Rais Magufuli Ndio Maono Yake Ya Muda Mrefu Aliyokuwa Anapambana Kuyaona Yatokee Na Sasa Ni Shuhuda Wa Mikono Yake Kugusa Hivyo Dhamira Yake Inamsuta Kumpinga Rais Magufuli Wakati Anatenda Kwa Matendo Ahadi Zote Alichosema.

Mathalani Diwani Anderson E. Sikawa Amekiri Wazi Kwamba Migogoro Ya Madiwani Wenzake Wa Halmashauri Ya Arumeru Kupanga Njama Za Kukamwisha Serikali Ya Wilaya Kufanya Majukumu Yake Kuwatumikia Wananchi Ndio Hoja Mbadala Iliyompa Dhana Ya Kukaa Pembeni Na Chadema Mosi Kwa Siasa Zisizo Na Tija Kwa Taifa Na Inamwia Vigumu Kutekeleza Kwa Weledi Majukumu Yake Kutokana Na Maslahi Binafsi Ya Madiwani Hao Hivyo Kwa Moyo Wa Dhati Kaamua Kuungana Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Rais Magufuli Ambayo Inafanya Kazi
Na Kuweka Siasa Pembeni Na Kuwaomba Wananchi Wa Kata Ya Leguruki Kuungana Na DC Mnyeti Kuleta Maendeleo Yao Kwani Ana Imani Naye Kutokana Na Uchapakazi Wake.

Leo Tarehe 23.06.2017 Diwani Anderson E. Sikawa Amekabidhi Barua Zake Zote Kwa Maandishi Kwa Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Meru Na Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Kama Kumbukumbu Sahihi Ya Kujiuzulu Kwake.

Napenda Kutoa Pongezi Zangu Za Dhati Sana Kwa Rais John Pombe Magufuli Kwa Kazi Nzuri Anayofanya Na Kupata Uungwaji Mkono Toka Viongozi Wa Asasi Mbalimbali Na Viongozi Vyama Vya Siasa Kwa Kuona Dhamira Yake Njema Kwa Taifa Hili.

Nchi Yangu +

Matokeo Chanya +

Arumeru Ya Vitendo +

Na Mwandishi.

Titho Cholobi.
Akwende zake huko,
Juhudi za JPM ni pamoja na kupinga Matumizi ya Fedha yasiyo na sababu,
Yeye anatuingiza kwenye uchaguzi mwengine, haoni kama hapo atasababisha ufujaji mwengine wa fedha kulipia uchaguzi wa marudio??
 
kila uchao jamaa wanazidi kufarakana, saivi madiwani wao wanawakimbia na kujiunga na kambi kuu ya hapa kazi tu.

namshauri Mbowe na mashinji wahamie CCM au CUF au NCCR, au ACT au NLD ili kwa pamoja tuijenge nchi yetu.
 
Back
Top Bottom