Upo sahihi,hawa jamaa hawatakagi shobo na huenda wengi wao wapo MoscowSasa kama alifanya uzembe kwa serikali ya sasa si ndio muda wa kupewa tuzo...
Nadhani ni maisha ambayo huenda anayapenda au wastaafu wengi wa kitengo hicho ndio wanavyoishi sababu hata wa kabla yake sijawahi wasikia sikia.
Ana umuhimu gani kwa UMMA??Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana.
Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote!
Watu wanajiuliza kama amewekwa detention kutokana na uzembe wake wa kiulinzi uliosababisha ajali ya tarehe 21/3/2021 na kuwaachia maumivu makubwa watanzania kwa nchi kurudi kwenye mikono ya mafisadi kwa kasi kubwa.
Ajali GaniAjali nayo ya kumuweka mtu "ditensheni"!
NdiyoKumbe CHE GUEVARA aliwahi kuja CONGO na mipaka ya mashariki kama ziwa Tanganyika hadi kigoma kote alipita na aliitwa TATU.
inapnekana na wewe no mfuasi wa PANORAMA
Ndiyo
Maisha Ya Ulimwengu Huu Tunayafuatilia Sanainapnekana na wewe no mfuasi wa PANORAMA
Ndiyo mlimpiga picha Enzi zileMbona tupo nae huku kwake Kisangara anadunda tu tena yupo very happy tunakunywa nae Denge fresh tu
Alishafariki (Rip)..Hata Apson yupo kitaa SI ndiyo