diwani athumani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    JamiiForums Tanzania Diwani Athumani amewekwa detention?

    Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana. Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote! Watu wanajiuliza kama amewekwa detention...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Diwani Athumani na Kapilimba Bungeni ni kama ulimchanganya kidogo

    Walipotambulishwa niliona kama pozi iliisha kidogo au ni macho yangu?
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CP Diwani Athumani - ni mtu muungwana sana 2025 tumpe jimbo

    Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka. Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu. Nchi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa Balozi Katanga na Diwani Athumani kuna uhusiano wowote na mkataba wa Bandari

    Nimekuta mahali mjadala mkubwa kuhusiana na kuondolewa kwenye nafasi zao Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani ikidaiwa kuwa kuna uhusiano na misimamo waliyokuwa wameweka kuhusu mkataba wa Bandari. Baadhi ya...
  5. Night Watch

    JamiiForums Tanzania Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Diwani Athman atenguliwa ikulu. ========= Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Back
Top Bottom