SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,318
- 1,936
Ni Sheria tu ifatwe, hakuna jingine..!!!Nina wasiwasi na uraia wako mkuu. Labda kama ni viongozi wa vijiji na kata za huko kwenu Kajiado na Kericho. Haiwezekani shamba la bangi ekari kumi lilimwe,lipaliliwe bila mwanakijiji kujua na kutoa ripoti. Nia ya mheshimiwa Rais ni uwajibikaji wa kila mmoja wetu ktk kulinda jamii hii na madawa ya kulevya na uhalifu mwingine.