Kwa anayejua ufaulu unaohitajika Ilboru, Kisimiri au Tabora boys

Gozibati

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
216
402
Samahani ndugu zangu!

Naomba kuuliza, Kuna dogo langu amepata division one ya 8, ila combination anazotamani kusoma yaan PCM,PCB na PGM, ufahulu wake ni (CAA) make Physics ana "C " afu hayo masomo ni "A".

Swali langu ni je anaweza kupata nafasi kwenye hizo shule za vipaji maalumu?
 
Samahani ndugu zangu!
Naomba kuuliza, Kuna dogo langu amepata division one ya 8, ila combination anazotamani kusoma yaan PCM,PCB na PGM, ufahulu wake ni (CAA) make Physics ana "C " afu hayo masomo ni "A". Swali langu ni je anaweza kupata nafasi kwenye hizo shule za vipaji maharumu?
Hawezi! Labda shule za zamani kama Moshi Sec, Bwiru, Umbwe, Lyamungo lakini siyo special school maana huko wanataka average awe na "A". Sasa hiyo ya dogo lako average yake itakuwa "B". Mwambie watakapotoa fursa ya kubadilisha combination na shule achague zile za zamani. Ni shule nzuri sana tu!
 
Physics imemuangusha na ufaulu umekuwa mkubwa kwaio itakuwa ngumu sana
 
Hawezi! Labda shule za zamani kama Moshi Sec, Bwiru, Umbwe, Lyamungo lakini siyo special school maana huko wanataka average awe na "A". Sasa hiyo ya dogo lako average yake itakuwa "B". Mwambie watakapotoa fursa ya kubadilisha combination na shule achague zile za zamani. Ni shule nzuri sana tu!
Asante sana kwa ushauri mkuu
 
Samahani ndugu zangu!

Naomba kuuliza, Kuna dogo langu amepata division one ya 8, ila combination anazotamani kusoma yaan PCM,PCB na PGM, ufahulu wake ni (CAA) make Physics ana "C " afu hayo masomo ni "A".

Swali langu ni je anaweza kupata nafasi kwenye hizo shule za vipaji maalumu?
Hawezi kupata hata siku Moja kama alichagua PCB au PCM inabidi awe na AAB BAA au ABA kama alichagua HGL mzumbe au Tabora Boys ataenda zaidi ya hapo hatoenda hakuna miujiza Zaidi ya hapo subiri meli pale Magufuli Mbezi Luis
 
Anaweza kwenda maana physics ni somo mlilofeli taifa zima kwa mwaka 2022 A zipo za kuhesabika wengi wameangukia kwenye B na C huyo anaenda kabisa maana kwingine ameclear A
Kumbe hujaangalia matokeo ya Ilboru Tabora Boys Kibaha na Ifunda watu wanagonga hizo Physics B na A hao kama wamepata na A kwenye masomo mengine mapema tu ila naonaga HGL wanapanga Hadi Kwa wenye BBA
 
Back
Top Bottom