Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

O

Octavian Julius

Member
Joined
Oct 26, 2016
Messages
7
Likes
13
Points
5
Age
49
O

Octavian Julius

Member
Joined Oct 26, 2016
7 13 5
Sio kweli, ila nachojua vyuo nilivyopitia vijana waliokulia vijijini walikua wanafanya vizuri darasani kuliko vijana wa mijini.
You're point is lying at the same dimension rural economy is lower than urban one. Watoto hao wa kijijini wamesoma shule za kata mkuu
 
Ethos

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Messages
2,291
Likes
1,864
Points
280
Ethos

Ethos

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2015
2,291 1,864 280
GPA haimaniishi mtu yupo vizuri kiakili... Mimi nilikuwa nafundisha wanachuo wenzangu kila Somo... Walikuwa wanajaa room kwangu ila matokeo yakitoka nina B au B plus ila wengi wao hugonga A...

Tatizo ni kuwa nilikuwa na mambo mengi sio kusoma tu na kukariri nifaulu...
 
Julius Husseni

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
1,079
Likes
557
Points
280
Julius Husseni

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
1,079 557 280
You're point is lying at the same dimension rural economy is lower than urban one. Watoto hao wa kijijini wamesoma shule za kata mkuu
Yah we umenielewa angalao watoto wengi wa vijijijini wamesoma izo izo shule za kata
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,148
Likes
9,985
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,148 9,985 280
Juhudi zako ndio ufaulu wako
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,390
Likes
10,347
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,390 10,347 280
Kwa utafiti uliofanywa GPA kubwa zilizo nyingi chuoni ni za vijana waliotoka shule za kata Hongereni vijana wangu.
Watakupinga ila kuna ukweli kiasi flani
Mtoto wa shule ya kata akifika chuo na asiwe bishoo au sister duu na akawekeza nguvu zake kusoma kama alivyokomaa hadi akachomoka shule ya kata basi hua chuo anapasua mbayaaaa
Sijafanya utafiti rasmi but nimeona kwa friends zangu wengi sana
 
canuty

canuty

Member
Joined
Aug 21, 2016
Messages
24
Likes
9
Points
5
Age
23
canuty

canuty

Member
Joined Aug 21, 2016
24 9 5
GPA haimaniishi mtu yupo vizuri kiakili... Mimi nilikuwa nafundisha wanachuo wenzangu kila Somo... Walikuwa wanajaa room kwangu ila matokeo yakitoka nina B au B plus ila wengi wao hugonga A...

Tatizo ni kuwa nilikuwa na mambo mengi sio kusoma tu na kukariri nifaulu...
Kwel mkuu
 
Julius Husseni

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
1,079
Likes
557
Points
280
Julius Husseni

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
1,079 557 280
Watakupinga ila kuna ukweli kiasi flani
Mtoto wa shule ya kata akifika chuo na asiwe bishoo au sister duu na akawekeza nguvu zake kusoma kama alivyokomaa hadi akachomoka shule ya kata basi hua chuo anapasua mbayaaaa
Sijafanya utafiti rasmi but nimeona kwa friends zangu wengi sana
Nashukuru kwa kunielewa mkuu japo umu jukwaani wengi ndugu zao Wanaondoka na GPA chafu ili ali wametoka na division 0ne secondary
 
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
4,124
Likes
2,246
Points
280
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
4,124 2,246 280
sidhani kam,ni kweli inakuwa ivo mara zote au kwa wanafunz wote.
 
Alfred

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Messages
1,397
Likes
1,500
Points
280
Alfred

Alfred

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2008
1,397 1,500 280
nyie wote ni vilazaa tunachohitaji ni competent graduates na sioo graduates wenye GPA kubwaa... Rural students ata wakifaul wengi wao hawapo competent kazini hicho kitu nimeobserve Sana'a ....MTU anajua kitu theoretically but hajui practically so actually MTU wa ivii iz not competent
 
O

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Messages
782
Likes
7
Points
35
O

oil sumu

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2013
782 7 35
Kwani G.P.A nzuri inaanzia ngapi?
 
Forum statistics

Threads 1,274,858
Members 490,833
Posts 30,526,190