Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

GPA haimaniishi mtu yupo vizuri kiakili... Mimi nilikuwa nafundisha wanachuo wenzangu kila Somo... Walikuwa wanajaa room kwangu ila matokeo yakitoka nina B au B plus ila wengi wao hugonga A...

Tatizo ni kuwa nilikuwa na mambo mengi sio kusoma tu na kukariri nifaulu...
 
Kwa utafiti uliofanywa GPA kubwa zilizo nyingi chuoni ni za vijana waliotoka shule za kata Hongereni vijana wangu.
Watakupinga ila kuna ukweli kiasi flani
Mtoto wa shule ya kata akifika chuo na asiwe bishoo au sister duu na akawekeza nguvu zake kusoma kama alivyokomaa hadi akachomoka shule ya kata basi hua chuo anapasua mbayaaaa
Sijafanya utafiti rasmi but nimeona kwa friends zangu wengi sana
 
GPA haimaniishi mtu yupo vizuri kiakili... Mimi nilikuwa nafundisha wanachuo wenzangu kila Somo... Walikuwa wanajaa room kwangu ila matokeo yakitoka nina B au B plus ila wengi wao hugonga A...

Tatizo ni kuwa nilikuwa na mambo mengi sio kusoma tu na kukariri nifaulu...
Kwel mkuu
 
Watakupinga ila kuna ukweli kiasi flani
Mtoto wa shule ya kata akifika chuo na asiwe bishoo au sister duu na akawekeza nguvu zake kusoma kama alivyokomaa hadi akachomoka shule ya kata basi hua chuo anapasua mbayaaaa
Sijafanya utafiti rasmi but nimeona kwa friends zangu wengi sana
Nashukuru kwa kunielewa mkuu japo umu jukwaani wengi ndugu zao Wanaondoka na GPA chafu ili ali wametoka na division 0ne secondary
 
nyie wote ni vilazaa tunachohitaji ni competent graduates na sioo graduates wenye GPA kubwaa... Rural students ata wakifaul wengi wao hawapo competent kazini hicho kitu nimeobserve Sana'a ....MTU anajua kitu theoretically but hajui practically so actually MTU wa ivii iz not competent
 
Back
Top Bottom