Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

nyie wote ni vilazaa tunachohitaji ni competent graduates na sioo graduates wenye GPA kubwaa... Rural students ata wakifaul wengi wao hawapo competent kazini hicho kitu nimeobserve Sana'a ....MTU anajua kitu theoretically but hajui practically so actually MTU wa ivii iz not competent
Tunachohitaji. ... "" "na nani ?
 
Hivyo vyuo wanavyosomea hao waliopata div three wanakutana na wa feza wangapi? Div 3 nyingi huwezi kuzikuta UDSM na ukizikuta zipo sehemu ambazo wala hawakutani na hao waliopiga one mjini, japo division sio kigezo cha kutoka na GPA kubwa chuo, ni jinsi ulivyoamua kujikita kwenye masomo.
Nimeona matokeo ya UDSM best student(Zawad Mdoe) katokea Feza ambako nako alikuwa ni best Alevel katika masomo ya sayansi.
Ukitaka GPA kubwa chuoni anza siku ya kwanza, ukijifanya wewe ni mzee wa mabash na kudoji vipindi basi GPA kubwa utaiona kwenye prospectus tu.
 
Unajua kua division 3 za olevel nyingi ni div 1 a level? Sasa huyu haendi udsm kwa misingi ipi ?
 
Na div one za o level nazo si kwa kiwango kikubwa ni div one zilezile? Kama mtu kapata div three olevel kuna asilimia kubwa kupelekwa shule ya kawaida sana, na ukiona div zero na four nyingi za advance ujue ni shule zile walizoenda wale wenzetu waliojitahidi sana na kupata at least div 3 olev kutokana na mazingira waliyosomea.
Kwa vigezo hivyo utawakuta huko kwenye vyuo vyenye cutting point kubwa kwa idadi ndogo sana ukilinganisha na wenzao waliotoka private.
 
Mkuu unakaidi bure ila ukweli Upo pale pale watoto wa shule za kata waogope Sana kwa high GPA ili mradi tu asifanye uzembe akifika chuoni. One ya feza na three ya kata is contrary mkuu
 
Mkuu sipingi ila sio kwa kiwango unachotaka niamini, mkuu unawajua watoto waliotoka feza? Kwenye vyuo vyetu vya bongo umekutana nao wangapi? Mwaka huu kuna aliyetokea udsm kasimama, yupo mwingine alikuwa pale cass akipiga economics katoka vizuri mno anagombewa, product nyingi za feza huzikuti kwenye vyuo vyetu hivi ndio maana ni rahisi ukikutana na mmoja au watatu ukahisi wote wako hivyo.
Pitia Duke, Stanford, Harvard, Michigan state na wengine wao wapo Uturuki, na sio kwamba ni oya oya ila wako vizur sana.
Naamini kabisa watu wanaotokea shule za kata wakifika chuo wako vizuri ila wengi wanashindwa pia. Nimesoma mwaka na watu wa private ila matokeo ya mwisho GPA nyingi kali zilichukuliwa na washikaji kutoka private, na kipindi kile kubakishwa ilikuwa ni wimbo nimewashuhudia jamaa wanne wote wakibakishwa na kule Coet kuna chalii jarani yangu kapiga computer engineering akakataa kubaki chuo akaenda soft net kupiga kazi.
 
Tupe list ya watoto wa feza japo 30 waliomaliza vyuo vya Tanzania na GPA zao
 
Ndio ukweli,angalia madaktari,wahandisi na watalaam mbalimbali hawatoki English medium au international schools.Kusoma huko ni mbwembwe tu,tukikutana Udsm Mlimani itafahamika wenye uwezo na vilaza.
Mkuu Kuna Jamaa umu wahanga wa GPA ndogo ndogo wanazikumbuka division one za kumezeshwa zile kule walidhani na uku watamezeshwa
 
Mie huwa siangalii sana GPA maana wale waliokuwa wakibamiza A's chuo boom likikata utashangaa ana sukari, mchele maji , jiko lenye gesi , kiberiti ,maji chumvi, mafuta ya kupikia na akalala njaa eti kakosa mboga yaani hata kupika wali na chai hawazi....hapo nikagundua hawajifunzi kupambana na mazingira wamezoea kukariri tuu
 
Watakupinga ila kuna ukweli kiasi flani
Mtoto wa shule ya kata akifika chuo na asiwe bishoo au sister duu na akawekeza nguvu zake kusoma kama alivyokomaa hadi akachomoka shule ya kata basi hua chuo anapasua mbayaaaa
Sijafanya utafiti rasmi but nimeona kwa friends zangu wengi sana
Msijidanganye ndugu.Chuo kikuu hata hao wa Feza wanachana kama kawaida
Zamani jamaa walituaminisha kuwa eti mwafrika akienda kusoma Ulaya anawakimbiza wazungu vibaya kumbe uongo mtupu.Kuna Jamaa alienda Ulaya akasema huko nako kuna wazungu wana akili balaa hasa zile University kubwa.
Naona hapa mnataka kuleta hadithi hizi huku tena
 
Mkuu sipingi ila sio kwa kiwango unachotaka niamini, mkuu unawajua watoto waliotoka feza? Kwenye vyuo vyetu vya bongo umekutana nao wangapi? Mwaka huu kuna aliyetokea udsm kasimama, yupo mwingine alikuwa pale cass akipiga economics katoka vizuri mno anagombewa, product nyingi za feza huzikuti kwenye vyuo vyetu hivi ndio maana ni rahisi ukikutana na mmoja au watatu ukahisi wote wako hivyo.
Pitia Duke, Stanford, Harvard, Michigan state na wengine wao wapo Uturuki, na sio kwamba ni oya oya ila wako vizur sana.
Naamini kabisa watu wanaotokea shule za kata wakifika chuo wako vizuri ila wengi wanashindwa pia. Nimesoma mwaka na watu wa private ila matokeo ya mwisho GPA nyingi kali zilichukuliwa na washikaji kutoka private, na kipindi kile kubakishwa ilikuwa ni wimbo nimewashuhudia jamaa wanne wote wakibakishwa na kule Coet kuna chalii jarani yangu kapiga computer engineering akakataa kubaki chuo akaenda soft net kupiga kazi.
Atawajuaje watoto wa Feza wakati ye hiyo Feza alianza kuisikia wakati katibu mtendaji wa Necta anatangaza matokeo?
 
Back
Top Bottom