Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

Hapana hata kidogo tatizo mnabishana facts, graduation ya 2016 udsm wenye matokeo makubwa walikuwa watatu zawadi mdoe, esther thomas Marcel na Ni.Clara wore walikuwa na GPA ya 4.8 but hao wawili Esther na mdoe necta A-level wote waliingia top ten mdoe alikuwa wa pili kitaifa na Esther alikuwa ndani ya top ten but sikumbuki alikuwa nafasi ya ngapi so uwezo wa mtu binafsi ndo matokeo yake.View attachment 610898
Huyo Clara Kimani amemaliza kidato cha sita pale Mbeya Day secondary school. Wakati Mimi nafelifeli pale Iyunga yeye alikua anapata matokeo ya kawaida pale Mbeya secondary. Hard work pays.
 
Back
Top Bottom