vigezo vya kupata mkopo ni hivi vifuatavyo:
1:uwe umefaulu kwa kiwango cha division 1; 2; au 3 ya kuanzia principle mbili na kuendelea.
2:uwe mwenye uhitaji wa huo mkopo
3:uwe umechaguliwa na tcu kwa kupitia cas system.
4:mwisho utafanyiwa testing kama ulisoma shule zenye gharama kwa kawaida no loan lakini cha kushangaza utakuta walewale waliosoma shule za gharama kubwakubwa 100% baadhi tu ya watoto wa wakulima ndio wanaambulia mkopo.
tukumbuke kuwa kuna loan na kuna busaries mkopo kama mkopo unatakiwa urudishwe ila busaries ni bure
HIVI INAKUWAJE KWA ZILE FACULTY ZA EDUCATION, mf Be.D Udom, imeandikiwa possible loan ni 0, hapo mkopo vipi? Na ni education. Pia kwa siye tuliyeomba facult za ed. ili tupate mkopo, then wametuchagua tusizoomba na si za ed. HAPO MKOPO TUTAPATA?
WEWE SALI SANA ILA USIJALI UTASOMA MBONA MIE NIMESOMA NA ASILIMIA O NA NAMALIZA SAIVI 3 YEAR usiwaze utatoka tu muhim boom upate
WEWE SALI SANA ILA USIJALI UTASOMA MBONA MIE NIMESOMA NA ASILIMIA O NA NAMALIZA SAIVI 3 YEAR usiwaze utatoka tu muhim boom upate
utalipiwa kila kitu isipokuwa ada ni vitu gan vingine?mkuu maandishi makubwa kushinda screen yangu!!! ila as far as i know i tht kama umeandikiwa 0% means utalipiwa kila kitu isipo kuwa ada!!!!
vyote isipokua ada..stationary,food...generally accomodations..thts all i knw!!!utalipiwa kila kitu isipokuwa ada ni vitu gan vingine?