Division 2 Wa PCB: Je kuna ambao hawajapata selection?

Division 2 Wa PCB: Je kuna ambao hawajapata selection?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Napenda tufahamu kama kuna division 2 Wa PCB ambao mpaka sasa bado hawajapata selection. Je tuwashauri wafanyeje kama wapo?
 
Napenda tufahamu kama kuna division 2 Wa PCB ambao mpaka sasa bado hawajapata selection. J Je tuwashauri wafanyeje kama wapo?
Wapo wengi sana, wengi hawakuzingatia vigezo vya kozi, cut off point, ushindani n.k.
 
Napenda tufahamu kama kuna division 2 Wa PCB ambao mpaka sasa bado hawajapata selection. J Je tuwashauri wafanyeje kama wapo?

I hope hata wewe ni mmoja wao

Waapply tena this time wazingatie ufaulu na ushindani uliopo
 
PCB wanafaulu sana.Kuna kozi kama Hapa Mlimani unakuta Cut of Point ni 6.Sasa pia waeza kuta competition ni Kubwa sana.Intake ya cozi waeza kuta inataka watu 200 wao wameomba 800
 
PCB wanafaulu sana.Kuna kozi kama Hapa Mlimani unakuta Cut of Point ni 6.Sasa pia waeza kuta competition ni Kubwa sana.Intake ya cozi waeza kuta inataka watu 200 wao wameomba 800
PCB mwaka huu hawajafaulu sana tatizo ni vyuo vingi vilivyokuwa vinawachukua vimefungiwa

UDSM hawajachukua MD mwaka huu
KCMC Kimefungiwa
Ifakara Kimefungiwa
 
Ufaulu si kigezo hasa sasa, ila uchaguzi sahihi ndio kigezo hii dunia ya ushindani lazima ujiongeze.

Ushauri wangu vijana wasibague vyuo na fani mtu unakuta anabagua chuo cha dodoma (eti cha kata) matokeo yake wanakuwa wengi sehemu moja mwishowe wanakosa wengi.
 
hata huko udom kuna dogo kaachwa na ufaulu wake mzuri.....
 
Ufaulu si kigezo hasa sasa, ila uchaguzi sahihi ndio kigezo hii dunia ya ushindani lazima ujiongeze.

Ushauri wangu vijana wasibague vyuo na fani mtu unakuta anabagua chuo cha dodoma (eti cha kata) matokeo yake wanakuwa wengi sehemu moja mwishowe wanakosa wengi.
Hata UDOM kama hauna divisio 1 huwezi kupata MD wala nursing
 
Yaani PCB imekua rahisi hivi.....nyie madogo wa sikuhizi inaelekea necta mnaulizwa Define biology?, how many legs does insect have.....
Nashangaa mwaka wangu nakumbuka alieongoza alikuwa na C ya physics huyo PCM! PCB wengi tulikuwa na two na one za kuning'inia. Ndalichako Mungu anakuona maana ulitukazia balaaaaa
 
mimi sijapata niko div 2 point 1o PCB,nifanye nini ndugu yangu mwisho tarehe 10?
Omba kozi zingine kama Physiotherapy.
Ophthalmology.
Orthotics and prosthetic.
Laboratory science.
Hizi ni kozi nzuri sana wala usijikatie tamaa, there's still life ahead of you.
 
Nashangaa mwaka wangu nakumbuka alieongoza alikuwa na C ya physics huyo PCM! PCB wengi tulikuwa na two na one za kuning'inia. Ndalichako Mungu anakuona maana ulitukazia balaaaaa
Hope tulikua wote 2014, nilikula Tatu yangu, kozi ya maana na boom 150%
 
Nawapa pole sana kwa hii competition kuwaacha wengi, ila kwa ushauri tuu kama unahitaji kusoma afya hasa kwa udom maana nimefanya hivyo, kwa second round chagua course yoyote then ukichaguliwa wahi mapema chuo uandike barua ya kuomba transfer either MD au Nursing, ila unaweza upate au ukose but kama ufaulu wako ni mzur uwez kosa, pia ujiandae na msoto wa loan board maana mkopo wako itabidi uamishiwe ulipoenda sababu course za afya ni mda kdgo kulinganisha na nyingne, ni ushauri tuu unaweza ufate au uache!
 
Back
Top Bottom