Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,987
- 36,096
Hawajafaulu kihivyo.madogo wamekula mabanda (A) mpaka najiuliza hivi sisi ndio tulikuwa vilaza miaka hiyo.....
Sababu kuu ni kitendo cha vyuo vingi vya afya kuzuiwa kudahili.
Hawajafaulu kihivyo.madogo wamekula mabanda (A) mpaka najiuliza hivi sisi ndio tulikuwa vilaza miaka hiyo.....
Kwan muhas wametoa majina??Sehemu kubwa ya waliochaguliwa muhas, wamechaguliwa pia cuhas na udom, na kwa kiasi kikubwa watamua kuconfirm Muhas kutokana na IMANI kuwa hicho ndo bora. Kwa hiyo ombeni tena cuhas na udom na st.John's. Naamini wengi mtapata. Vinginevyo plan B ni kutumia matokeo ya form 4 na kusoma diploma husika na kuhakikisha GPA unayopata haishuki chini ya 3.8 ili kujihskikishia nafasi ya kusoma digrii mbele ya safari.
Sasa mkuu competition si wataikuta iko palepale, maana kuna thread nimeona watu wa diploma wanauliza hivi haya ni kwa ajili ya watu wa direct entry tuuu..Sehemu kubwa ya waliochaguliwa muhas, wamechaguliwa pia cuhas na udom, na kwa kiasi kikubwa watamua kuconfirm Muhas kutokana na IMANI kuwa hicho ndo bora. Kwa hiyo ombeni tena cuhas na udom na st.John's. Naamini wengi mtapata. Vinginevyo plan B ni kutumia matokeo ya form 4 na kusoma diploma husika na kuhakikisha GPA unayopata haishuki chini ya 3.8 ili kujihskikishia nafasi ya kusoma digrii mbele ya safari.