Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,725
- 21,706
Kufaulu sana/vizuri sio kigezo cha kupata chuo.
Kuna dogo ana II.10 nilimsaidia kuapply na kapata MD pale Bugando.
Ila mpaka muda huu yeye na mzee wake(daktari) hawaamini maana competition iliyopo ni hatari.
Unforgetable